Saturday, 14 November 2015

UJUMBE MZITO WA SHUKRANI KWA GROUP ZA FACEBOOK ZOTE NA KWINGINEKO

LAYIII
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa wale wote ambao wananipa support katika mwendelezo wa blog yangu ya www.swaxbz.com na kwa wale wote walio subscribe katika  youtube na katika blog hii naomba sapoti zenu zaidi na zaidi kama hujajisajili na blog hiii jisajiri ili niwe nakuunganisha na habari hot kabisa pia kama hujajiunga nami katika youtube jiunge sasa bonyeza picha hii utaenda moja kwa moja katika page yangu ya youtube
 MDADA AVUNJA RECORD YA MWAKA KWA KUCHEZA WIMBO WA SKELEW WA DAVIDO BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO YAKE
lhttps://youtu.be/3IfFYSsCOvE
 Pata nafasi ya kuitazama video ambayo mwanamke mmoja kawachanganya majaji mpaka wameshindwa kutoa kauli za mwisho na kusahau kazi yao ya ujaji

huyu dada ni shida aiseee fata link hiii au na uone video yake
HUYU DADA HANA KIUNO AU NI VIPI MMMM

No comments:

Post a Comment

advertise here