LAYIII
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia
uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni
uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea
wa Urais
kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
ziara zake huko Mikoani ikiwemo, Tunduma, Sumbawanga, Rukwa.
No comments:
Post a Comment