LAYIII
Dennis Laswai akiwa haamini kama kawa mshindi wa TMT.
Dennis Laswai akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni 50.
Dennis akikumbatiana na jaji Monalisa mara baada ya kutajwa mshindi.
Kumi bora iliyoingia fainali ikiwa kwa pamoja kusubiri nani ataibuka mshindi wa shindano hilo.
Washereheshaji wa shindano hilo, Lulu pamoja Mboto.
Washiriki Dennis Laswai (Kushoto) akiwa na mwenzake, Daniel.
Titus (kulia) akiwa na mwenzake,
Washiriki wa kike pekee walioingia kumi bora, Naomi (kushoto) akiwa na Aisha.
Staa wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba 'Dude' akifuatilia kwa makini shindano hilo.
Msanii wa filamu Bongo, Mzee Chillo akiwasifia washiriki kwa kupiga makofi.
Mastaa wa filamu Bongo, Thea (kushoto) na Davina.
Nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Banana Zoro akifurahia jambo katika shindano hilo.
Staa wa filamu, Wastara Juma.
Msanii wa Bongo Movie, Chuchu Hans (katikati) akifurahia jambo na mama Kanumba na kulia kwake ni Maya pamoja na Natasha.
Mshindi wa shindano hilo kwa msimu wa kwanza, Mwanaafa Mwinzago (katikati) akiwa na ndugu zake katika shindano hilo jana.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza jana katika fainali za shindano hilo.
No comments:
Post a Comment