LAYIII
Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite, Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na Christian Bella akiwa na Malaika Band pampja na Yamoto band
Ni usiku pia ambao uliudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Moze Iyobo, Lina, Lulu, Tid Mnyama, Q-Chifu, Steve Nyerere na wengine

No comments:
Post a Comment