LAYIII
Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani August 23 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za kunadi sera zao na ilani ya chama chao utaratibu huo
ulianzia Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani na utaendelea kwa vyama vyote ili kunadi sera zao nchi nzima.
ulianzia Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani na utaendelea kwa vyama vyote ili kunadi sera zao nchi nzima.
August 29 ilikuwa ni zamu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuzindua kampeni zake, UKAWA ambao ni mjumuiko wa vyama pinzani vinne vya siasa ambavyo ni CUF, CHADEMA, NCCRA na NLD
walizindua kampeni zao ambazo zilihudhuriwa na viongozi kadhaa wasiasa
ambao walipata nafasi ya kutoa hotuba kwa umati ulio hudhuria uzinduzi
huo.
Baadhi ya viongozi walio hudhuria mkutano huo na kuongea na wananchi ni pamoja na waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, James Mbatia, Juma Duni Haji ambaye ni mgombea nwenza na Edward Lowassa, Freeman Mbowe na wengine wengi. Nimekuwekea hotuba ya viongozi wa UKAWA .
No comments:
Post a Comment