Monday, 17 August 2015

DIAMOND AJIBIA KUHUSU DNA KWA MTOTO TIFFA

LAYIII

tifaaa
Kumekuwa na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao.

Diamond amepatikana na kutolea majibu ishu hiyo, barua ya kudai mtoto wake akapimwe DNA bado haijamfikia na kama ni ishu ya Kisheria inayohusu Mahakama amesema ingepitia kwa Wakili au Mwanasheria na sio kupitia Mitandaoni.
Kingine amesema kwamba Zari hajawahi kuolewa na wao wameamua kuishi maisha yao na hawezi kufuatilia maisha ya mtu wala wao kufuatilia maisha ya watu.
Ukibonyeza play hapa utamsikia Diamond ambapo stori hii niliipata kwenye show ya XXL wakati wa stori za 255.


No comments:

Post a Comment

advertise here