LAYIII
Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.
Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane
imemuacha nyota wake wa Real Madrid Castilla Eero Markkanen kutokana na ongezeko la uzito, Markkanen ameongezeka uzito wa Kg 18.
No comments:
Post a Comment