Ule mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu baina ya wapinzania wa
jadi wa ligi kuu ya Uingereza, vilabu vya Manchester United dhidi ya
Liverpool umepigwa usiku huu.
LAYIII Kazi
yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo
stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea
96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa kwenye
baadhi ya vituo vya radio nchini.
Msanii huyo alipokutana
na ripota wa millardayo.com aliweza kuelezea sababu
Pambano la Floyd Mayweather na Manny PacquiaoMay
02 2015 lilivunja rekodi nyingi ikiwemo ya mauzo ya Ticket, ticket
ziliuzwa kati ya Dola 1,500 na Dola 10,000 lakini ndani ya saa mbili tu
ziliuzika zote !!
DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru
kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha
Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 9,2015 tayari
nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,
headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa
kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, baada ya siku kadhaa
kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Viko vya CHADEMA pamoja na Vyama
vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado
Headlines zilibeba stori kubwa November 13 2014 kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambae ndio mtu mrefu zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi Raia wa Nepal
ambaye alikuwa anashikilia
50 Cent siku zote ni mtu wa masuprise tu mtu wangu, mwezi July
rapper huyo alitangaza kuwa amefilisika na idadi ya mali nyingi
alizonazo si zake bali ni mali za mkopo, badaae tukasikia kuwa
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 8,2015 tayari
nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,
headlines baada
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Cuf, Rashid Mwinshehe
‘Kingwendu’ juzi alikuwa kivutio wakati akitambulishwa na mgombea mwenza
wa urais wa Jamhuri, Juma Duni Haji.
layiii Team ya polisi huko Oakland, California walipigiwa simu na wananchi
baada ya mtoto mchanga kuonekana akiwa kaachwa kwenye gari na madirisha
yakiwa yamefungwa. Ili
Timu ya taifa ya Tanzania na Nigeria September 5 zimekutana kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON 2017, ikiwa ni zaidi ya miaka 20 toka zikutane katika mechi za mashindano. Nigeria inayonolewa na kocha mzawa Sunday Oliseh ndio imecheza mechi ya kwanza
Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha
wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa ‘Sexy
Rosey’.
Video imeongozwa na Godfather.
Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa StarsVsNigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Siri CCM na UKAWA nje, Mke wa DK.Slaa afichua siri, Magufuli na wazawa wa gesi, Lowassa na ‘Operation Tokomeza? (Audio).
Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM
ni sehemu inayokupa habari zote zilizoweka headlines magazetini, kazi
yangu ni kukusogezea zile kubwa kubwa kwenye vichwa vya habari…
Siri yafichuka CCM na UKAWA vyama hivyo vimeanzia kampeni nyanda za juu kusini, Mke wa
Mourinho, Ronaldo na Smalling wameingia katika kitabu cha Guinness World Records
Baadhi ya wanamichezo duniani akiwemo Jose Mourinho, Frank Lampard na Cristiano Ronaldo wameingia katika kitabu cha kipya cha Guinness World Records
ambacho toleo jipya litatoka Septemba 10, Mastaa hao wamepewa heshima
ya kuwemo katika kitabu hicho kutokana na rekodi zao mbalimbali.
Jose Mourinho ndio ameingia katika headlines kubwa zaidi baada ya kupewa Tuzo za Guinness World Recordsmara nne, hivyo ana rekodi nne tofauti zitakazo mfanya aandikwe katika kitabu hicho.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo na klabu ya Tottenham HotspurEmmanuel Adebayor, ambaye kabla ya dirisha la usajili kufungwa alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya West Ham United ya Uingereza kwa asilimia kubwa. Moja kati ya wachezaji ambao tulikuwa tukitarajia kuona
LAYIII
Askofu Josephat Gwajima amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa kuwa alishiriki kama
‘mshenga’ kumshawishi mwanasiasa huyo kumpokea Edward Lowassa katika
chama hicho.
Baada ya Hekaheka ya binti wa kazi aitwaye Sada
kupelekwa Oman kufanya kazi za ndani na kufanyiwa unyama na wenyeji wake
kias chakurudi akiwa hawezi kuzungumza wala kusikia, leo Wizara ya
Mambo ya nje kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu Simba Yahya amezungumza.
Msanii wa muziki wa Bongo FlavaMr Blue ana asbabu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, dakika chache zilizopita Mr Blueameshare na sisi furaha yake kubwa ya kumkaribisha mtoto wake
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akisalimiana kwa kumbatiana na Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ambaye pia ni mmoja wa wamiliki wa vyombo vya habari
Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo katika soka, amesajiliwa na klabu ya Boavista ya
Klabu ya Liverpool ya
Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia
vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa
inamtaka kwa muda mrefu au
Jamaa wametegesha video camera
sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea
watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha
Kuna watoto wengi wa mastaa ambao wamekua na ushawishi mkubwa ndani
ya jamii zinazowazunguka, mbali ya kupata mikata minono ya kutangaza
bidhaa mbalimbali pia wamekuwa wakizungumziwa hasa katika mitandao ya
kijamii.
Ni kweli katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMADr. Wilbroad Slaa amekua kimya toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMAakitokea CCM lakini August 31 2015 kituo cha TV cha STAR TVkimetangaza kuhusu Dr. Slaa kwamba atazungumza kwa mara ya
Huu ndio utakua mwisho wa
makosa ya kimtandao Tanzania??? sababu sheria hii imepitishwa na kuanza
kutumika leo mahususi kwa wote wanaotumia vibaya mtandao.
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile
LAYIII Musa Mateja na Gabriel Ng’osha YAMEKUWA hayo! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’ anahofiwa kufia studio kutokana na kufanya kazi kwa muda mrefu
pasipo kupumzika
Wiki iliyopita Soudy Brown alizungumzia ugomvi wa Edo Boy na Young Killer hadi kupelekana Polisi, leo tena unaendelea.
Baada ya Edo Boy wiki iliyopita kugoma kuzungumza, leo amezungumza na
kusema ni kweli alikua
Jumapili ya tarehe 30 August 2015 ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zilichukua headlines kubwa sana jijini Los AngelesMarekani.
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015…
na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya
kufurahisha ama kusikitisha usiku hauwezi kuisha bila kumsikia Kanye West.
LAYIII
KUMBUKA HII IMEKAA KIUDAKU ZAIDI NOT PROVE ZEN LETS GET TOTHE POINT OK
......MAAJABU YA DUNIA.....
Huyu ndie binadamu wa hatari zaidi na mwenye maajabu Duniani na anasifa kuu 7. 1:Anauwezo wa kufanya kazi kwa wiki bila kula. 2:hakuzaliwa na Mama,bali alizaliwa na Baba. 3:Anauwezo wa kutabiri ya kesho nayakawa sawia. 4:Anaongea zaidi ya lugha zipatazo 10,000. 5:Anaweza kutembea umbali mlefu bila kupumzika. 6:Hakuwahi kunyonya maziwa kwa mama wala ya mnyama. 7:Alizaliwa anajuwa kuongea,pindi alipokuwa na umri wa siku 3. NINI MTAZAMO WAKO KWA KIUMBE HUYU.
Bado harakati za uzinduzi wa kampeni za siasa zilikuwa zikiendelea katika maeneo tofauti Dar Es Salaam, August 30 ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kampeni za chama cha ACT- Wazalendo
MWANANCHI
Wakati Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye
akitangaza kuihama CCM, alidokeza kuwa siku moja chama hicho kitaona
umuhimu wake, na jana alianza kuonyesha hilo alipopangua hoja dhidi ya
mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa huku akianika uozo wa Serikali.
Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani August 23 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za kunadi sera zao na ilani ya chama chao utaratibu huo
Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii
nisingependa ikupite, Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa
upande wa burudani na ilitendewa haki na Christian Bella akiwa na Malaika Band pampja na Yamoto band
Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya UjerumaniKlaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya Manchester City.
De Bruyne akipiga picha na mashabiki wakati akiwa njiani kuelekea Manchester usiku wa August 28
Kevin De Bruyne atakuwa anarejea katika Ligi Kuu Uingereza ikiwa ni miezi 18 imepita
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari
nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,
headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku,