Sunday, 13 September 2015

NIMEKUSOGEZEA MATOKEO YA ARSENAL VS STOKE NA MAN CITY VS CRYSTAL PALACE

layiii
Baada ya mchezo wa mchana kati ya Chelsea vs Everton, Barclays Premier League imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Uingereza.

 
Arsenal wakiwa nyumbani waliikaribisha timu ngumu ya Stoke City- mechi ambayo imemalizika kwa vijana wa Arsene Wenger kupata ushindi wa 2-0.
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud.
 
Manchester City wakicheza ugenini leo wamefanikiwa kuendeleza rekodi yao ya kushinda mechi zao zote za EPL kwa goli 1-0 dhidi ya Crystal Palace.

No comments:

Post a Comment

advertise here