LAYIII
Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha
wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa ‘Sexy
Rosey’.
Video imeongozwa na Godfather.
Video imeongozwa na Godfather.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akisalimiana kwa kumbatiana na Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ambaye pia ni mmoja wa wamiliki wa vyombo vya habari |