Tuesday, 25 August 2015

NIMEKUSOGEZEA VIDEO ZOTE ZA LOWASSA AKITEMBEA KWA MIGUU MITAANI JIJINI DAR ES SALAAM

LAYIII
EL 1Mgombea Urais wa UKAWA 2015 Edward Lowassa alianza ziara ya kuingia mitaani Dar es salaam Aug 24 2015 ili kukutana na Wananchi uso kwa uso na kusikiliza matatizo yao.

Monday, 24 August 2015

Vipengele 25 vya MAGUFULI, Kadi feki za wapigakura, Maneno ya MKAPA, SUMAYE na wasomi je?..#StoriKUBWA {CONTENT ZOTE NA MILLARDAYO}

LAYIII

CLIK
HABARILEO
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka historia na kujenga heshima ya taifa kwa kuweza kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mfumo wa BVR kwa mafanikio makubwa na kuyashangaza mataifa makubwa duniani.

ONGEZEKO LA UZITO LIMEMFANYA ZIDANE AMWONDOE HUYU JAMAA KIKOSINI

LAYIII
Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.
eero-main
Zidane kushoto, upande wa kulia Markkanen
Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane

EEE BWANA EEEE CHEKI HII JEURI YA FEDHA YA HUYU JAMAA

LAYIII

Jeuri nyingine ya fedha kwa bondia Floyd Mayweather na hili gari lake jipya..


may
Bondia wa kimataifa Floyd Mayweather  haishiwi Headlines, mara nyingi Stori zake nyingi zinahusiana na utajiri alionao.

Friday, 21 August 2015

DIAMOND PLATNUMZ NA STAR MKUBWA MAREKANI KUJA NA BONGE LA SONG WAKO STUDIO NOW

LAYIII

.
.
Tanzania inaendelea kujichukulia headline baada headlines tuliona Coke Studio Africa iliwakutanisha Ali Kiba na staa wa Marekani Ne-YO Nairobi kwenye kuandaa single mpya.

MGOMBEA URAIS TLP ARUDISHA FORM

LAYIII

.
.
Ni mwaka 2015 na headlines zake za uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam

Collabo ya Ice Prince na Ali Kiba, mafanikio ya Jua Kali, Ali Kiba na alichokipata kwa Neyo..255 (Audio) NA MILLARDAYO

LAYIII

neyo

255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Prince amezungumza na kusema amefurahi sana

VANESSA , NEVY KENZO NEW HIT MTU WANGU

LAYIII


MAGUFULI ARUDISHA FORM OFFICE ZA NEC

LAYIII
.
.
Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC,  sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) , Dkt John Pombe Magufuli akiwa na

Wednesday, 19 August 2015

BZMORNING TANZANIA KUTANA NA KAULI YA ZARI .............HAKUNA CHA DNA HAPA

layiii

.
.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Agosti 20,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines

MANENO YA DIAMOND KUHUSU SMS ALIZO MTUMIA WEMA

LAYIII
Diamond AyoTVIlikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile ndio official Dj wake ambapo vilevile AyoTV

MISS TANZANIA YASAMEHEWA RASMI

LAYIII

December 2014 baada ya shindano la Miss Tanzania kukamilika liliingia kwenye headlines baada ya Baraza la sanaa la Taifa kutangaza kulifungia shindano hilo kwa miaka

NIMEKUSOGEZEA MATOKEO YA MECHI YA Man United Vs Club Brugge (Picha&video)

LAYIII
Ikiwa zimepita siku kadhaa tu toka Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya zianze August 18 imepigwa michezo kadhaa ya kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza katika hatua ya makundi ya Kombe la klabu bingwa barani Ulaya, michezo iliochezwa ni pamoja na mchezo ambao umewakutanisha Manchester United dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji.
1363998392555
Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa nyumbani wa klabu ya Club Brugge nchini Ubelgiji katika uwanja wa Jan Breydel wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 29,472, mchezo umemalizika kwa klabu ya Manchester United kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 3-1 magoli ya

KIPINDU PINDU CHATISHIA DAR

LAYIII

10
HABARILEO
Mbunge wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa

Tuesday, 18 August 2015

KWA KILECHA SINTOFAHAU LULU AJIACHIA NA DIAMOND USIKU WA MANANE

LAYIII

Mwandishi Wetu
UCHOKOZI! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ëLuluí anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ëDiamond Platnumzí, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

KAKOSA KAZI YA URUBANI NA KUISHIA JELA

LAYIII
baltic
Usafiri wa anga japo kumekuwa na Ripoti mfululizo kuhusu ajali za ndege lakini bado, usafiri wa anga unaendelea kuwa usafiri salama zaidi Duniani.

KICHUPA HIKI CHA TYGA NI OFFER TOSHA KWA WANAHIP HOP

LAYIII

tyga2
Msanii wa Hip Hop Marekani kutoka kwenye kundi la Cash Money Records Tyga amerudi kuziweka headlines zake kwenye ubao wa burudani.

EBANA EEE NGOMA MPYA YA 50 CENT YAINGIA HEADLINE MAREKANI

LAYIII

9 shots
50 Cent amerudi kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani, baada ya headlines nyingi za yeye na issue za mali na Mahakama 50 kaamua atupooze kidogo. Siku chache zilizopita 50 Cent aliachia kichupa kipya alichokipa jina 9 Shots.

MATOKEO YA Liverpool vs AFC Bournemouth (picha&video) NIMEKUWEKEA HAPA

LAYIII
Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouth iliyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu, Liverpool imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuanza kuona matunda ya usajili wa mchezaji Christian Benteke iliomsajili msimu huu kutokea klabu ya Aston Villa.
Liverpool-vs-Bournemouth-Prediction-and-Preview
Kwa upande wa AFC Bournemouth hii sio historia nzuri kwani imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza msimu huu, goli pekee la Christian Benteke dakika ya

HUU NDO MWONEKANO WA MABASI YAENDAYO KASI

LAYIII

.
.
Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje..

Monday, 17 August 2015

SABABU ZA JERRY MURO KUSHINDWA KATIKA KURA ZA MAONI

LAYIII
ina la Jerry Muro sio geni masikioni mwa walio wengi kwani aliwahi kufanya kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi kwa muda mrefu na zilizofanya jina lake kukua na watu kumtambua, Jerry ambaye kwa sasa ni mkuu wa idara ya habari ya klabu ya Dar Es Salaam Young African.
Mwaka 2015 aliamua kuingia rasmi katika siasa kwa kuanza harakati za kutaka kulirudisha jimbo la Kawe kwa chama tawala, Jerry alikuwa ni miongoni mwa makada 21 wa CCM waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia kwa chama cha mapinduzi (CCM).
Muro 20150727_001927
Kwa bahati mbaya kura hazikutosha kumuwezesha Jerry Muro kupata ridhaa hiyo ya kupata nafasi ya kugombea ubunge wa Kawe kupitia chama cha mapinduzi, ila ameeleza saba

UKAWA na Zanzibar, Sumaye kumnadi Magufuli, ACT Wazalendo watoswa mgombea Urais + alidai vifaa baada ya kubwagwa kura za maoni!? (Audio)

tues
Magazeti ya August 18 2015 tayari yako mtaani, nimezinasa zile zote kubwa kubwa za leo magazetini @CloudsFM zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…

TIFFAH WA DIAMOND APEWA BENZ LA MIL. 200!

LAYIII
Musa mateja
Kazi ipo mwaka huu! Ndugu wa mzazi mwenzake na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamempa zawadi mtoto wa mastaa hao, Latiffah Nasibu ‘Princess

NAPE KAMUUMBUA LOWASSA

LAYIII
Erick Evarist
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu

JOKATE KIMENUKA NI BAADA YA KUMTAMBULISHA ALIKIBA KWAO

LAYIII
2alikiba-1
Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa zengwe kama iliv

MAPOKEZI YA LOWASSA HUKO ARUSHA NIMEKUSOGEZEA VIDEO YAKE HAPA


LAYIII

DIAMOND AJIBIA KUHUSU DNA KWA MTOTO TIFFA

LAYIII

tifaaa
Kumekuwa na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao.

Sunday, 16 August 2015

SIMU YENYE KAVA YA BASTOLA YAWATIA POLICE KIWEWE

LAYIII

Ni kawaida ukikutana na warembo siku hizi wamependeza wenyewe, na simu zao wanataka zipendeze vilevile, basi kuna cover za kila aina utawakuta nazo..

BAADA YA DIAMOND KUTUONYESHEA MWANAYE WEMA NAYE ATUPIA KITOTOOOOO NA KUTAMKA HAYA

LAYIII



UKAWA WAUNDA JESHI LAO

LAYIII

BIRTHDAY YA DJ WA DIAMOND ILIKUWA POA SANA MTU WANGU

LAYIII
Screen Shot 2015-08-17 at 4.34.40 AM
Diamond Platnumz na crew yake wakati wa kuingia kwenye party
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni

HILI NDILO GARI LA KWANZA KABISA AMBALO ALIWAHI KUMILIKI WYNE ROONY WA MAN U

LAYIII
Katika maisha kila mtu ana dream yake lakini wote hatutofautiani sana kwani huyu atataka kuwa Doctor, nurse, mwanasheria, askari polisi tunapokuja kufanana ni pale kila mtu anapohitaji kutumia matunda yake aliyochuma kutoka sehemu mbalimbali hususani katika kazi yake.
hi-res-9b3a5f04568f997f91879ed28ca0c436_crop_north
Hakuna askari polisi, Doctor, mwanasheria au nurse asiyekuwa na ndoto y

TAARIFA YA KUSTUA MWILI WA MICHAEL JACKSON WAONEKANA LOS ANGELS

LAYIIII

Micheal Jackson Double At BET Awards - michaeljacksonnotdead.wordpress.com 

Since you are here – it means that you too also question the ‘death’ of Michael Jackson.  The truth is that it was indeed staged, and Michael is STILL ALIVE

EWAAAA FURAHIA MAGOLI YA SIMBA VS URA AUGUST 2015 FULL TIME 2-1


MJUE MGOMBEA URAIS KUPITIA ACT

LAYIII
swaa
MWANANCHI
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi.
Tukio hilo, ambalo lilifanyika mbele ya msafara wa Lowassa, lilitokea jana eneo la Daraja la

Saturday, 15 August 2015

TUDDY THOMAS KARUHUSIWA KUTOKA HOSPITAL NI BAADA YA KUPIGWA NA WEZI

LAYIII

2mgflIjumaa usiku wa July 31 ni siku ambayo Producer wa bongofleva wa hits kama mdogomdogo ya Diamond Platnumz, Tudd Thomas alivamiwa na wezi na kumshambulia kisha kumuibia vitu alivyokua navyo usiku huo

Friday, 14 August 2015

BABA AMZALISHA BINTIE MWENYE UMLI WA MIAKA 11

LAYIII
FILE FILE - In this May 14, 2015 file photo, a 13-year-old girl holds her one-month-old baby at a shelter for troubled children in Ciudad del Este, Paraguay. The girl said she was raped by her stepfather from the time she was 10 and became pregnant when she was 12. Another pregnant girl, age 11, whose case drew international scorn when Paraguay's government denied her an abortion, gave birth on Thursday, Aug. 13, 2015. The girl was allegedly raped and impregnated by her stepfather when she was 10. In Paraguay, abortion is banned except when the mother's life is in danger. (AP Photo/Jorge Saenz, File)
Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga utoaji wa ujauzito na mwanamke anaruhusiwa kufanya hivyo pale tu afya yake inapokua hatarini.
Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto baada ya kubakwa na baba yake wa kambo imeingia kwenye headlines.

JOKATE ALIKIBA SIRI NJE TENA SIKIA SAUTI KUTOKA KWA SUDI

LAYIII
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa mambo.

Mengine ya Ali Kiba na Jokate haya hapa kwa Soudy Brown…kuna ndoa? #UHeard (Audio)

jojo
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa mambo.

Thursday, 13 August 2015

Magazeti ya Tanzania Agosti 14, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !

layiii

.
.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 14,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya

Tuesday, 11 August 2015

P SQURES WAMZUNGUMZIA DIAMOND

LAYIII
PeterPeter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond

RAIS TP MAZEMBE KUWA RAIS WA CONGO

LAYIII

Moise Katumbi, the governor of the Katanga region of the Democratic Republic of Congo and president of the TP Mazembe Lubumbashi football club, arrives for their African Champions league football match against Sewe Sport on March 23, 2014 at the Robert Champroux stadium in Abidjan. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO
Moise Katumbi, the governor of the Katanga region of the Democratic Republic of Congo
 and president
 of the TP Mazembe Lubumbashi football club, arrives for their African Champions league
football match against Sewe Sport on March 23, 2014 at the Robert Champroux stadium in
Abidjan. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO
Rais wa klabu ya Tp Englebert Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Moise Katumb

Monday, 10 August 2015

JINSI DAR ILIVYO CHAFUKA UJIO WA LOWASSA

LAYIII



Lowassa achukua fomu za kuwania urais

10 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 14:45 GMT
Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani

Sunday, 9 August 2015

KILICHOWAKUTA ARSENAL DHIDI YA WEST HAM HIKI HAPA

layiii
Ligi kuu ya Uingereza Baclays Premier imeendelea jumapili ya leo kwa mchezo uliowakutanisha mahasimu wa mji wa London – Arsenal dhidi ya West Ham United.
 
Mchezo huo uliomalizika hivi punde umemalizika kwa West Ham United kuwashangaza watu wengi kwa kuifunga Arsenal kwa magoli 2-0.

ZIJUE SABABU ZA MOURINHO KUMLAUMU DOCTOR WA CHELSE

LAYIII

Baada ya kutoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza, kocha wa Chelsea Jose Mourinho baada ya matokeo hayo hakupeleka lawama zake kwa muamuzi Michael Oliver ambae alimuonyesha kadi nyekundu golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois na kutoa penati kwa Swansea.
29187-o2ij8qMourinho lawama zake zote anapeleka kwa madaktari wa timu wakiongozwa na Eva Carneiro ambao waliingia uwanjani kumpatia matibabu Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama

HUYU NDO MWAFRIKA PEKEE ALIYE WAHI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MIGUU DUNIANI

LAYIII
Ni kawaida kwa binadamu kufanya au kujifunza kitu zaidi ya kimoja lakini huwa ni watu wachache sana wanaoweza kuvimudu vyote kwa ufasaha, kwa rekodi tu wachezaji wote wanaotajwa kuwa bora duniani hawajawahi kuwa makocha wazuri licha ya kuweza kucheza mpira kwa ufasaha mfano kama Diego Maradona na hata Lionel Messi anatajwa hatokuja kuwa kocha mzuri kama akitaka kuja kuwa kocha.
George_Weah
Na wengine kama Pele na Zidane wao wameamua kabisa kutokuwa makocha, tukirudi Afrika hapa nakusogezea historia ya mwanasoka pekee kutoka Afrika aliewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’or) 1995 George Ousman Weah kutokea Liberia huyu jamaa amemud

LIPUMBA ajificha Burundi........JK,LOWASSA,MAGUFULI,MBOWE kukutana..#StoriKubwa AUGUST 9

LAYIII

yuuuu
MWANANCHI
Rais Jakaya Kikwete amesema sasa atazungumza lugha moja na wakwe zake baada ya kukamilika Barabara ya Ndundu-Somanga kwa kiwango cha lami.
Rais Kikwete alisema hayo juzi jioni kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo iliyofanyika Kijiji cha Marendego Mpakani na kuhudhuriwa na wananchi wa mikoa ya Lindi, Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali akiwamo Balozi wa Kuwait nchini, Jassem Ibrahim AL-

ILE COLLABLE ILIYOKUWA IKISUBILIWA KWA HAMU YA DIAMOND & ALI KIBA YATABILIWA KUVUNJA RECORD

LAYIII


MTOTO ALIYEVUNJA RECORD KWA KUIMBA RAGGER TONE HUKO AFRIKA YA KUSINI HUYU HAPA......... ONA VIPAJI VYA WATOTO CHIPUKIZI HAPA

LAYIII
Kitoto kidogo cha miaka minne kimewaacha hoi maelfu ya watu kiliposikilizwa kikiimba tone za raga tena kwa mbwembwe za ukweli

Saturday, 8 August 2015

KATIKA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA UINGEREZA HIZI NDO PICHA KALI MTU WANGU

LAYIII
Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.
Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
albrighton
Albrighton ni mchezaji wa zamani wa Aston Villa ameshinda goli moja na kutengeneza nafasi zilizoifanya Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Sunderland

Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa

layiii
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa kucheza dhidi ya Swansea.
 
Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.

Friday, 7 August 2015

PROFESSOR JAY KWENYE HEADLINE KAPETA TENA KURA ZA MAONI

LAYIII

.
.
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.

BZMORNING TANZANIA KUTANA NA MAGAZETI YA LEO 08/08/2015

LAYIII

.
.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 8,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa

Thursday, 6 August 2015

HAWA NDIO WATU WABISHI NCHINI CHINA MTU WANGU

LAYIII

p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Je hapa kwetu watu wanajua sheria na taratibu zao? Picha hapo chini zinaonyesha nchi ya kikomnisti ya China. Je nchi za kidemokrasia kama tunavyojiita unaweza kufanya hivi?
nail-house-china-2-v3

Mmiliki wa jengo hilo Luo Baogen, 67, akiwa na mkewe mwenye miaka 65 wamekuwa wakipambana kwa miaka minne ili waweze kupata dola za kimarekani 41,300 kutoka serikali kufidia jengo hilo ili waweze kuondoka hapo. Hali hiyo inaitwa nyumba misumari kwakuwa inakuwa ngumu

MTOTO WA DIAMOND PLATNUMUZ AANZA MAISHA YA KISTAA AKIWA HAJAFIKISHA HATA SIKU MBILI TOKA AZALIWE

LAYIII
 11242009_1478721399110318_1864035948_n (1)
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.

Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa imefikisha followers zaidi ya 16,000.
Picha yake ya kwanza kuwekwa kwenye akaunti hiyo ina zaidi ya comments 860.

WASANII WASUSA MWALIKOWA TCRA

LAYIII

?
?
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)  leo Aug 06 waliwaalika wanamuziki wa Tanzania kwa ajili ya semina ya namna ya kuziweka salama akaunti  zao za mitandao ya Kijamii  baada ya

Maneno ya TCRA baada ya mahudhurio machache ya wasanii Aug 06 DSM.


 malalamiko yaliyoripotiwa na baadhi ya wasanii kuhusu

advertise here