Tuesday, 11 August 2015

P SQURES WAMZUNGUMZIA DIAMOND

LAYIII
PeterPeter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond
Platnumz na kitu Watanzania wanatakiwa kufanya lakini pia amezungumzia kolabo yao, hii video hapa chini ina kila kitu alichokisema.


No comments:

Post a Comment

advertise here