LAYIII
Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga
utoaji wa ujauzito na mwanamke anaruhusiwa kufanya hivyo pale tu afya
yake inapokua hatarini.
Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto baada ya kubakwa na baba yake wa kambo imeingia kwenye headlines.
Binti wa miaka 11 na mtoto wake!, sababu ya ujauzito wake ni hii hapa…
Mwanaseheria wa binti huyo Elizabeth Torales, amesema binti huyo alijifungua salama katika hospitali ya Red Cross hospital na sasa hali yake pamoja na ya mtoto wake inaendelea vizuri.
Awali mama wa binti huyo aliomba
mwanawe aitoe mimba lakini Serikali ya Paraguay ilikataa kutokana na
kuwa ni kinyume na maandiko pia haki za binadamu.
Binti huyo alibakwa akiwa na miaka
10 na baba yake wa kambo ambaye ana miaka 42 na sasa kesi yake ipo
mahakamani licha ya mwenyewe kukanusha tuhuma hizo.
No comments:
Post a Comment