LAYIII
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde, Ijumaa lina stori kamili.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoambatana na Diamond katika ziara ya
kimuziki iitwayo ‘Nana Tour’ nchini humo, staa huyo ambaye kwa sasa ni
mpenzi wa mjasiamali maarufu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’
amekuwa akiumizwa na penzi la Omotola kitambo sana lakini hakuwahi