LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA JAY METTY
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza…
’Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai