Saturday 20 February 2016

MATUMIZI YA SIKUKUU YAZUA GUMZO

LAYIII


 KUFANYA STAREHE SIYO ZAMBI ILA STAREHE INAHITAJI KIPIMO MAANA IKIPITA KIASI INAKUWA NA MADHARA YAKE CHUKUA NAFASI KUONA VIDEO HIO HAPO chini
Pale watu wanapotakiwa kwenda kanisani na misikitini kwa ajiri ya ibada ndo kwanza wanajirusha katika kumbi za starehe
Pale ambapo muda wa kumtukuza mungu umefika ndo kwanza watu tunajiachia club swimming pool na maeneo meni ya anasa

Pindi matatizo yanapofika ndo kwanza watu wanakuwa wamejisahau kabisa na kuona hiyo hali ni yakawaida kabisa


No comments:

Post a Comment

advertise here