Wednesday, 17 February 2016

MANENO YA UCHUNGU ALIYOZUNGUMZA WEMA SEPETU JUU YA UJAUZITO WAKE

LAYIII
Baada ya kuwa na tetesi na Uvumi kila kona kuhusiana na Ujauzito wa Wema Sepetu kutokuwepo tena  mwenyewe leo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii na kutoa uhakika.

Ameandika maneno haya; 

"Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.

Alhamdulillah for EVERYTHING! " Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment

advertise here