VIDEO: MAREHEMU JOHN WOKA ALIVYOAGWA LEO DAR, FEB 17 2016
LAYIII
Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao Tanga.
Ayo Tv ilifika eneo la tukio na kukusogezea yote muhimu kwenye hii video hapa chini
No comments:
Post a Comment