Wednesday 2 March 2016

PICHA 10 ZA HALIMA MDEE AKITOKA MAHAKAMANI

LAYIII
Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote
wamekana mashitaka hayo na wamejidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
1
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (wa pili kushoto), Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (wa tatu kutoka kushoto) na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu (kulia) wakiwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Leo kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayowakabili. 
3
Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule, akiwa ndani ya mahakama ya mkazi kisutu kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo.
2
Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya akiwa na Katibu Mkuu, Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) wakisubiri kusikilizwa kwa kesi hiyo
4
5
6
7
8
9

No comments:

Post a Comment

advertise here