Tuesday, 7 July 2015

KENYA 14 WAUWAWA NA ALSHABABU

LAYIII
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo. Mamlaka husika huko Mandera yathibitisha.

WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA



Maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio lilipotokea shambulio lililoua watu 14 usiku wa kuamkia leo.
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.

48 CCM ANAKATWA HAKATWI

LAYIII
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48 zimesalia kufahamu kuwa jina la mgombea huyo litakatwa au halitakatwa katika mchujo wa kwanza, Uwazi linashuka nayo.

SAA 48 ZA ANAKATWA, HAKATWI

MAKONGORO OGING NA OJUKU ABRAHAM
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48

Monday, 6 July 2015

WALIOMTESA DROGBA HAWA HAPA

LAYIII
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba, ni mmoja wa washambuliaji bora zaidi waliowahi kutamba katika barani Afrika, Asia na Ulaya.

Drogba kawataja hawa mabeki kwamba ndio waliomsumbua zaidi Uwanjani..

Didier-Drogba-Wallpaper_0
Didier Drogba
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea,

BAADA YA KUKOSA HOUSE GIRL SIARA AMEAMUA HAYA

LAYIII
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi.

Ciara amekosa Housegirl? Haya ndio maisha yake na mtoto wake.. (Pichaz)

ciara-facebook-ciara
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi

Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu beef, uchawi, kulipia collabo, Team za mitandaoni.. (Audio)

layiii
MONDIII
Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.
Unadhani Diamond anaamini uchawi >>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini  haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”>>>

NYIMBO ISHIRINI ZA DIAMOND KABLA HAJATOKA

LAYIII



Diamond kabla ya mafanikio
 Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single zaidi ya 20 kabla ya kufanikiwa na hatimaye kufikia katika mafanikio makubwa aliyonayo sasa..

JINSI CHRISTIAN RONALDO ALIVOWAACHA WAANDISHI KWENYE MATAA

LAYIII
Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ametoa kali  baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga wakati akihojiwa na Televisheni ya Sports News.
Kitendo cha mchezaji huyo kuondoka kulisababishwa na kuulizwa swali kuhusu mchezaji mwenzake beki Sergio Ramos. kama ataendelea kubaki Real Madrid au kujinga na Manchester United swali lililoonekana kumkera.

KATIKA MAGAZETI YA LEO CHEKI 6/7/2015

LAYIII

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

BZMORNING TANZANIA NA MAGAZETI YA LEO 6/7/2015

LAYIII

PEPA 
NIPASHE

#MAGAZETINI JULY6…Mume kumnyonga mjamzito, wiki ngumu CCM na kompyuta yaibiwa kituo cha kupigakura


Zikiwa zimebakia siku sita kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kura ya maoni iliyoendeshwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inamweka kileleni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuwa changuo la kwanza la wengi kwa kujipatia asilimia 27.0 ndani ya chama hicho.
Wakati Lowassa akiwafunika watia nia wenzake ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, anawafunika wenzake kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akiwa changuo la wengi kwa asilimia 23.1.

CHEKI MAREKANI WALIVO SHEREKEA KOMBE LA DUNIA HAPA

LAYIII
Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.
Katika mchezo huo Marekani ilifanikiwa kutawala mchezo kwa muda wote kwani ndani ya dakika 15 tayari wailikua wameshafunga mabao 4 na kuwachanganya zaidi wapinzani wao.
cha
Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.

Sunday, 5 July 2015

KAMA HUJAKUMBANA NA NYOKA MKUBWA NIMEKUWEKEA VIDEO YAKE HAPA

LAYIII

NI SHIDA NYOKA HAWA BILA MASHINE HABEBWI HATA KWA DAWA CHEKI MWINGINE HAPA

ZITTO KABWE WANANCHI MWENGE NJIA PANDA

LAYIII

ZITO KABWE AWAACHA NJIA PANDA WANANCHI VIWANJA VYA MWEMBEYANGA DAR

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia.

SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA LATOA UAMUZI MGUMU DHIDI YA KOCHA WAKE

LAYIII
Shirikisho la soka Nigeria NFF baada ya kupitiwa taarifa za Kamati ya Nidhamu, Ufundi na Maendeleo. limefikia uamuzi wa kumtimua kazi kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Super Eagles’, Steven Keshi kuendelea kuifundisha timu hiyo

Uamuzi mgumu wa uongozi wa Shirikisho la soka Nigeria kwa kocha wa timu ya Taifa…

kekee
Shirikisho la soka Nigeria NFF baada ya kupitiwa taarifa za Kamati ya Nidhamu, Ufundi na Maendeleo. limefikia uamuzi wa kumtimua kazi kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Super Eagles’, Steven Keshi kuendelea kuifundisha timu hiyo.

DIAMOND ATOA SALUT KWA AY KATIKA PAGE YAKE YA FACEBOOK SOMA HAPA

Misingi na Daraja Imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa...Pengine watu Hawajui kuwa wewe ndio Uliye niwezeshea kufanikisha Collabo langu na Davido, Kuni Unga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio Mwanzo wa safari yangu ya Kimataifa... Nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania @Aytanzania @Aytanzania

NA KATIKA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE JAPANI KUCHUANA NA MAREKANI

LAYIII

Fainali:Japan kuchuana na Marekani 

null 

Mabingwa watetezi Japan watajaribu kulihifadhi taji lao la kombe la dunia upande wa wanawake wakati ambapo wanakutana na Marekani kwa kipute cha fainali ya kombe hilo kwa mra ya pili mfululizo.

KATIKA MASHINDANO YA CCOPA AMERICA CHILE YACHUKUA USHINDI

LAYIII
null
Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

KIMENUKA ZITTO ATAJA WALIOFICHA FEDHA BENK

LAYIII
Jana Zitto Kabwe alikua akiwahutubia wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya Mwembe Yanga na kutaja orosha ya majina ya Watanzania wlaioficha mabilioni ya fedha katika benki ya Uswis.

Sentensi nne za Zitto Kabwe akiwataja Watanzania walioficha fedha benki ya Uswis (Pichaz&Audio)

Screen Shot 2015-07-04 at 9.21.15 PM
Jana Zitto Kabwe alikua akiwahutubia wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya Mwembe Yanga na kutaja orosha ya majina ya Watanzania wlaioficha mabilioni ya fedha katika benki ya Uswis.
Hata ni maneno aliyoyazunguza:-

BZMORNING TANZANIA NA MAGAZETI YA LEO 5/7/205

LAYIII

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Saturday, 4 July 2015

IKULU YA JK YAVAMIWA NA KITOTO kauli ikulu si ya babako ndo inatumika kwa sana

LAYIII
 "IKULU SIO YA BABA'KO"!

Hii ni kauli ambayo inatumika kwenye Project Mpya ya kisiasa inayovuma nchini kwa jina la DJ (Dogo Jembe).

Projekti hii, yenye uwekezaji mkubwa na inayofanyika kwa viwango vya hali ya juu vya kiteknolojia katika uzalishaji na usambazaji wake, inamtumia kijana wa umri chini ya miaka 18, ambaye anataja mifano ya changamoto za nchi na kuzishangaa ni kwa namna gani zinashindwa kutatuliwa wakati inawezekana!

Kinachoipa nguvu hii projekti, ni namna ambavyo DJ huyo ameweza 'kuchukua' fomu ya Urais kupitia CCM na kutia nia ya kujitosa kwenye uongozi huo wa juu, ili kuweza kuwafundisha mafisadi cha kufanya katika kuiletea nchi maendeleo kwa upande wa afya, elimu, miundombinu na kadhalika.

Kwa namna inavyoendeshwa, hakuna shaka kwamba ina 'mkono mzito' wa mmoja wa watia nia ya urais nchini. Ni jambo jema, lakini usiri wake unazua maswali lukuki.

Watu wengi sasa wanajiuliza; Je, Ni nani aliye nyuma ya hii projekti? Ni nini haswa 'motive' ya hii projekti? Anafaidikaje kutokana na huu uwezekezaji?

Sasa basi, Napenda tusugue vichwa kwa pamoja, na tuanze kuunganisha nukta ili kuweza kumtambua muhusika wa hili suala.

Tuko nyakati za mambo mengi sasa kisiasa, kwahiyo ni vema tukajua michezo yote inayochezwa, iwe misafi ama michafu ili tusije tukaachwa feri!



Dondoo: Huu mradi unamiliki tovuti ya kisasa, vipande vya video vimerekodiwa kwa ubora wa hali ya juu, Kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii zimedhaminiwa, na waandishi wa habari wenye wafuasi wengi pia wanashiriki kuisambaza (mfano, MillardAyo).




STARS NA UGANDA ZATOKA SARE 1-1

LAYIII
ANZANIA imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.
Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.
Dakika 45 za kwanza zilimalizika kukiwa hakuna timu iliyopata bao na kipindi cha pili na kipindi cha pili, John Bocco ‘Adebayor’ alianza kuifungia Tanzania kwa penalti dakika ya 53 kwa penalti.


Kikosi cha Taifa Stars kilichotoa sare ya 1-1 na Uganda leo Kampala
Penalti hiyo ilitolewa baada ya beki wa Uganda kuunawa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Tanzania, Rashid Mandawa.

WEMA SEPETU APATA BONGE LA SHAVU KATIKA SAFARI YAKE YA UBUNGE NA JOSE CHAMELEON

LAYIII
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Jose Chameleone aahidi kumpiga jeki Wema kwenye safari yake ya kuwania ubunge 


Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.

NUHU MZIWANDA HANA CHAKE ALIYE ZAA NA SHILOLE ANENA YAKE

LAYIII
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole 

ule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema Makala.
Hata hivyo alipoulizwa kama anasikia wivu anasikia na kumuona Shilole akila raha na mpenzi wake mpya msanii Nuh Mziwanda alisema kuwa haoni wivu kwa kuwa Nuh anakula makombo yake kwani yeye ndiye aliyeanza kuwa na msanii huyo.
‘’Sioni wivu kabisa miye ndiyo niliyeanza huyo Nuh anakula makombo yangu,hata hivyo mimi nina mke na familia yangu huku Igunga,’aliongeza Makala.
Msanii Shilole alipoulizwa alisema kuwa hawezi kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui kama mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi, na anakula nini.
‘’Huwa sipendi kabisa kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi na anakula nini,’’alijibu Shilole.

 


EBANA EEE UNAJISKIAJE UKIKUTANA NA MPENZI ANAYEKUPA MAJIBU HAYA

LAYIII

Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae

Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano

1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia

 

CUBA SHANGWE TUPU HAKUNA UKIMWI WALA KASWENDE

LAYIII
Shirika la afya duniani WHO, limethibitisha kuwa Cuba imemaliza kabisa maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama mzazi na Kaswende.
Mkuu wa shirika hilo WHO, Daktari Margaret Chan, ametaja ufanisi huo kuwa ''ni mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwa afya ya umma.''

WHO:Cuba haina Kaswende, ukimwi kwa watoto

 

Mafanikio hayo ya kutajika yanafuatia kampeini ya muda mrefu miongoni mwa wanawake waja wazito ambao wamekuwa wakishauriwa kuanza kupokea matibabu mapema na kufanyiwa vipimo mahsusi ilikujua hali ya afya ya mama na mwanaye .
WHO inatumai kuwa mafanikio hayo ya Cuba yataigwa na mataifa mengine.

WAZIDI KUFANYA NGONO ETI DAWA YA UKIMWI IMEPATIKANA WACHANGANYIKIWA BAADA YA DAWA HIYO KUKOSOLEWA

LAYIII
Kwa muda mrefu wahudumu wa afya ya masuala ya ngono wamesisitiza matumizi ya mipira ya kondomu kama mbinu bora zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Lakini tabia moja hatari ya kutumia madawa ya kulevya na wapenzi wa jinsia moja inazidi kuibua wasiwasi.

Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa

 




Kwa muda mrefu wahudumu wa afya ya masuala ya ngono wamesisitiza matumizi ya mipira ya kondomu kama mbinu bora zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Lakini tabia moja hatari ya kutumia madawa ya kulevya na wapenzi wa jinsia moja inazidi kuibua wasiwasi.

RAMAMEL FALCAO ATINGA CHELSEA

LAYIII
Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.

Chelsea yamsajili Radamel Falcao




Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.
Falcao mwenye umri wa miaka 29 alicheza kama mchezaji wa mkopo katika kilabu ya Manchester United na kufanikiwa kufunga mabao manne katika mechi 29.

MAN U YA FUJA PAUNI MILLION 100 KISA USAJIRI MZITO PIA ................

LAYIII
 Manchester City wanatarajiwa kutumia pauni milioni 100 ili kuwasajli wachezaji wapya msimu huu baada ya vikwazo walivyowekewa kuhusu ununuzi wa wachezaji kuondolewa na UEFA.
City ilipigwa faini ya pauni milioni 49 na kulazimishwa kutoa kikosi chenye upungufu wa wachezaji 21 msimu uliopita baada ya kukiuka sheria za UEFA.

Mancity kutumia pauni milioni 100 msimu huu

Lakini baada ya kuafikia masharti hayo ,timu hiyo sasa iko huru kuwasaka wachezaji wapya akiwemo Paul Pogba,Kevin De Bruyne na Raheem Sterling.
Ununuzi wa mchezaji wa Aston Villa Fabian Delph atakayegharimu

BABA NI BABA TU DIAMOND USO KWA USO NA DINGI YAKE KILICHOFATA HAPA

LAYIII
ULE msemo usemao ‘wagombanao ndiyo wapatanao’ umetimia kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kuwa na mgogoro kwa muda mrefu na baba yake, Abdul Jumaa ‘Baba D’ ambapo anadaiwa kusalimu amri na sasa wanaelewana, 


 

NYOMI YA JITOKEZA KATIKA KINYANG`ANYIRO CHA MILLIONI HAMSINI

LAYIII

Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’ ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.

BSS 2015 kazi imeanza mwanza, picha 15 za usaili ziko hapa

.
.
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’ ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.
.
.
Shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba kwa mwaka linatafanya usaili mikoa 5 ambapo Mwanza July 4-5 ndani ya ukumbi wa La kairo, July 11-12 Arusha ukumbi wa Triple 7,

Friday, 3 July 2015

ULIPITWA NA MAGAZETI YA LEO CHEKI HAPA

LAYIII
Wakati vikao vya juu vya CCM vikikaribia kuanza mchakato wa kumpata mgombea Urais wa chama hicho, mji wa Dodoma umeanza kupokea wageni kutoka maeneo mbalimbali.

StoriKUBWA >> Makao Makuu CCM Dom.. Waliosimamishwa Bungeni, Hakimu Feki Mahakamani !!

In Case
MWANANCHI
Wakati vikao vya juu vya CCM vikikaribia kuanza mchakato wa kumpata mgombea Urais wa chama hicho, mji wa Dodoma umeanza kupokea wageni kutoka maeneo mbalimbali.
Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Mwananchi kwenye maeneo ya katikati ya mji wa Dodoma hadi jana, umebaini kuwa tayari nyumba nyingi za kulala wageni na hoteli zimeshajaa.

Hali ya mwimbaji Banza Stone sio nzuri, imebidi apelekwe Hospitali akatibiwe..

layiii

unnamed IIHali ya kiafya ya Staa na mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanja aka Banza Stone sio nzuri, anaumwa kwa muda mrefu na wapo ambapo waliofikia hatua hata ya kumzushia mitandaoni kwamba

NANI WA MAN U KUSAJIRIWA UTURUKI

LAYIII
Mchezaji wa klabu ya Manchester United Nani anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa matibabu katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahce baada ya vilabu hivyo viwili kukubaliana ada ya yuro milioni 6 kwa uhamisho wa mchezaji huyo.

Fenerbahce kumsajili Nani wa Man United


null

Mchezaji wa klabu ya Manchester United Nani anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa matibabu katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahce baada ya vilabu hivyo viwili kukubaliana ada ya yuro milioni 6 kwa uhamisho wa mchezaji huyo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alihamia Manchester United kutoka klabu ya Sporting

NIKOLAUS ANELKA KUWA TICHA WA MUMBAI SASA

LAYIII
Aliyekuwa mchezaji wa vilabu vya Arsenal na Chelsea Nicolas Anelka amechaguliwa kama mkufunzi wa klabu ya Mumbai City

Aliyekuwa mchezaji wa vilabu vya Arsenal na Chelsea Nicolas Anelka amechaguliwa kama mkufunzi wa klabu ya Mumbai City.
Anelka mwenye umri wa miaka 36 aliichezea klabu hiyo ya ligi kuu nchini India chini ya ukufunzi wa aliyekuwa mkufunzi wa klabu ya Manchester City Peter Reid.
''Alituvutia sisi sote na ufundi wake pamoja na ujuzi wa hali ya juu alionao'',alisema mmiliki wa kilabu hiyo ambaye pia ni mwigizaji nyota wa Bollywood Ranbir Kapoor.
Anelka alikuwa mchezaji mkufunzi katika kilabu ya Shanhai Shenhua mwaka 2012.
Raia huyo wa Ufaransa alifanikiwa kufunga mabao mawili pekee katika mechi saba alizocheza katika msimu wake wa kwanza mjini Mumbai lakini anarudi katika kilabu hiyo kama mchezaji ambaye anafaa kulipwa mshahara mkubwa.
.

SHAMSA NUSURU AUWAWE ATISHIWA KIFO KILICHOENDELEA HAPA NIMEKUWEKEA AUDIO MSIKIE MWENYEWE

LAYIII
Muigizaji wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.

Shamsa aliripoti Polisi baada ya kutishiwa maisha na mchumba wake

 
.
.
Muigizaji wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.
Akizungumza na millardayo.com alisema…’Ni kweli wakati nilipokuwa katika mahusiano naye alikuwa ni mtu ambaye anapenda sana kuniambia neno nitakuuwa mimi na mwanangu ndio maana

BAADA YA WEMA MPAKA ZARI SASA NI ZAMU YA OMOTOLA MSHUDIE DIAMOND HAPA NA OMOTOLA

LAYIII
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde, Ijumaa lina stori kamili.

DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA

Kwa mujibu wa chanzo kilichoambatana na Diamond katika ziara ya kimuziki iitwayo ‘Nana Tour’ nchini humo, staa huyo ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mjasiamali maarufu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amekuwa akiumizwa na penzi la Omotola kitambo sana lakini hakuwahi

ROBOT LINALOTENGENEZA MAGARI LAUWA MFANYAKAZI

LAYIII

ROBOTI LAMUUA MFANYAKAZI KIWANDA CHA MAGARI CHA VOLKSWAGEN UJERUMANI

Hiki ni moja ya viwanda vinavyotengeneza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani.

Wanne washindwa kurejesha fomu, kilichojiri Bungeni kiko hapa na BVR Dar sasa Julai 16…#MAGAZETINI JULY3

LAYIII

NIPASHE
Kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma, imeelemewa baada ya idadi ya wakimbizi kutoka Burundi kuzidi kuongezeka hivyo kuzidi uwezo wake kama inavyotakiwa na sheria za Umoja wa Mataifa (UN).
Mkurugenzi Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke, alisema bado wakimbizi wa Burundi hawajaanza kurudi nyumbani kwao bali hali imekuwa mbaya zaidi kutokana na idadi yao kuendelea kuongozeka.
Kwa mujibu wa Mseke, hadi sasa wakimbizi katika kambi hiyo kutoka Burundi, wamefikia 71,000 na ndani ya wiki moja iliyopita wameingia wakimbizi 10,000.
Alisema kwa sasa idadi ya wakimbizi wote kutoka Burundi na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), katika kambi hiyo ni takribani 100,000.
Kwa mujibu wa mkurugenzi huyo, idadi hiyo ni kubwa kupita kiasi kwani sheria za UN kupitia shirika lake la kuhudumia wakimbizi duniani (UNHCR) kambi moja inapaswa kuhudumia wakimbizi wasiozidi 50,000.

Baada ya kuondoka Man Utd, Falcao arudi tena kucheza EPL

LAYIII

Miezi takribani miwili baada ya klabu ya Manchester United kuamua kutoendelea kupokea huduma za Radamel Falcao kwa kutompa mkataba wa kudumu, mchezaji huyo wa Colombia amepata timu mpya ndani ya ligi kuu ya Uingereza.

Breaking News: Baada ya kuondoka Man Utd, Falcao arudi tena kucheza EPL

Miezi takribani miwili baada ya klabu ya Manchester United kuamua kutoendelea kupokea huduma za Radamel Falcao kwa kutompa mkataba wa kudumu, mchezaji huyo wa Colombia amepata timu mpya ndani ya ligi kuu ya Uingereza. 
Falcao ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Colombia, anatarajia kujiunga na Chelsea kutokea Monaco kwa mkataba wa mwaka mmoja wa mkopo.

MAPYA YAIBUKA DAIMOND KACOPY WIMBO WA NANA

LAYIII
Nana’ ya Diamond kacopy Video ya ‘Moyo wangu’..mwenyewe amesema wakati anatoa wimbo wa Moyo wangu hakuwa anajulikana sana kimataifa kama sasaivi na alichokifanya kwenye wimbo wake mpya wa Nana kaamua kuiboresha na kuiongezea ubunifu kwa kuchua vitu vichache kwenye wimbo wa Moyo wangu.

Diamond kacopy Video ya Nana? Belle 9 hana habari na mitandao ya kijamii, Mb Dog na muziki je?..#255 (Audio)

dia

Thursday, 2 July 2015

DIAMOND NAMBA MOJA KTK TOP TEN YA TRACE TV AFRICE

LAYIII
NANA YAMPAISHA MTU WANGU


BZMORNING TANZANIA SHUHUDIA MAGAZETI YA LEO 3/7/2015

LAYIII

.
.

MAITI YAKOHOA, YAFUMBUA MACHO

LAYIII
MAITI (1)Tunu Shabani anayedaiwa kuzinduka baada ya kufariki dunia, akiweweseka.
Maajabu ya Bagamoyo! Katika hali ya kushtua, familia yenye makazi yake, Magomeni, Bagamoyo mkoani Pwani, imejikuta kwenye mauzauza baada ya ndugu yao kufariki dunia huku akidaiwa kukohoa, kufumbua macho na kuonesha dalili za kuwa hai, pamoja na kwamba daktari alithibitisha kifo.

MTAZAMO WA YEMI ALADE KUHUSU WASANII WA MZIKI KUPEANASUPPORT UTACHEKA UPASUKE

LAYIII

blackup-for-Yemi-Alade-Look-1
Yemi Alade ni msanii maarufu kutoka Nigeria ambaye alitamba sana na ngoma yake Johnny. Nimekutana na interview moja aliofanya msanii huyu jijini Lagos, aliulizwa maswali mengi lakini moja kubwa lilikuwa linahusu hali ya wasanii kupeana support kwenye muziki.
iiihib
Yemi Alade alikuwa na haya ya kusema.
>>> “siwezi kuzungumza kwa niaba ya kila mtu so nitaongea kulingana na mtazamo wangu, kwa mimi binafsi nahisi kwenye industry wanaume wanapeana support zaidi kuliko wanawake, sijui kwa nini ila naona hii ndio hali halisi kwa hapa kwetu.” 

ETI TAIFA STAR HAWAJUI KIINGELEZA SI JAMAA KANYOOSHA MKONO HAHAHA MSIKIE MWENYEWE

LAYIIII
Kumekuwa na headlines tofauti tofauti katika mitandao zikiwahukumu wachezaji wa timu ya ‘Taifa Stars’  kutojua lugha ya kingereza ndio chanzo iliyopelekea kutofanya vizuri uwanja na kutoelewana na aliyekuwa MSIKIE MWENYEWE HAPA MTU WANGU kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  Mart Nooi.

Eti wachezaji wa Taifa Stars walikuwa hawakuelewa Kingereza?, Cannavaro kanyoosha mkono

.
.

UJUE USHINDI WA RAIS KENYATA KWA MARA NYINGINE MTU WANGU

LAYIII
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka 2014/2015.
Kabla ya Kenyatta kushinda, Rais Paul Kagame wa Rwanda alikuwa akishikilia nafasi hiyo.

Unamfahamu Rais bora Afrika 2015? Ninayo hii stori iliyopewa headlines kubwa leo..

enjoy
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka 2014/2015.

MCHEKI WANAFUNZI ALIYE INGIA KATIKA JENEZA KUSUPRISE JAMAA ZAKEKTK GRADUATION YAKE

LAYIII
Niliwahi kukuletea stori ya bibi harusi kuamua kufanya surprise kwa mume wake pamoja na wageni waalikwa siku ya harusi, akajipanga na kuingia zake Ukumbini akiwa ndani ya jeneza.. lengo lake ilikuwa afanye tu kitu tofauti na kuvunja rekodi yake mwenyewe.
cof


Mwanafunzi kaona aingie na jeneza k

MCHEKI MESSI ALIVO WATOKA MABEKI KATIKA KIPANDE HIKI CHA VIDEO

LAYIII
Copa America ndio story nyingine kubwa kwenye soka Duniani kwa sasa, imechezwa tayari mechi ya Argentina VS Paraguay… matokeo ilikuwa Argentina kushinda goli 6-1, lakini kilichonivutia ni hiki hapa.

Kama unaamini ukali wa Lionel Messi, cheki hapa ‘alivyowatoka’ mabeki wawili wakaangukiana.. (Video)

lionel-messi-world-player-soccer-lionel-messi-feature4 (1)
Copa America ndio story nyingine kubwa kwenye soka Duniani kwa sasa, imechezwa tayari mechi ya Argentina VS Paraguay… matokeo ilikuwa Argentina kushinda goli 6-1, lakini kilichonivutia ni hiki hapa.
Lionel
Japo Cristiano Ronaldo anatajwa kuwa ndio mchezaji wa soka mkali kabisa Duniani na ana Tuzo yake ya Ballon d’Or kwa mara tatu mfululizo, wapo wanaoamini Lionel Messi ndio mkali zaidi !!
Nina hivi vipisi vya video vinavyoonesha ukali mwingine wa Lionel Messi akiwa Uwanjani, play uone wachezaji wawili walivyoachwa kwenye mataa mtu wangu!!
Video Player

Video Player

 

FROM JELA HADI MTAANI MCHEKI RICK ROSS HAPA AKITOKA JELA

LAYIII
Headlines za Entertainment Marekani zilikuwa na story ya Rick Ross kukamatwa na kuwekwa ndani yeye pamoja na bodyguard wake, kesi yao ilikuwa ni ishu ya kuteka na kujeruhi watu wawili.

Rick-Ross-court
Headlines za Entertainment Marekani zilikuwa na story ya Rick Ross kukamatwa na kuwekwa ndani yeye pamoja na bodyguard wake, kesi yao ilikuwa ni ishu ya kuteka na kujeruhi watu wawili.
July 01 2015 kapandishwa Mahakamani, Georgia Marekani.. Kesi ikasomwa na milango

NIMEKUWEKEA VIDEO YA MGOGORO WA BUNGENI LEO HAPA CHINI

LAYIII

Kilichotokea Bungeni mpaka Bunge likaahirishwa leo July 02 2015

Kikao cha Bunge kilianza kama kawaida leo July 02 2015, baada ya kipindi cha maswali na majibu yaliyoulizwa kwa Mawaziri, Mbunge John Mnyika akaomba mwongozo.
Tumekabidhiwa orodha ya shughuli za leo.. kimsingi imekiuka kanuni, uamuzi wa kuileta hii miswada mitatu kwa pamoja kama hati ya dharura umekiuka kabisa msingi wa makubaliano ya kwenye Semina ambapo Wabunge kwa kauli moja tulikataa Miswada hii isiletwe kwa hati ya dharura
Mbunge John Mnyika.
Naomba Mwongozo, hili jambo linahitaji majibu sasa” >>> Mbunge John Mnyika.
Spika Makinda akaanza kutoa ufafanuzi kuhusu hiyo ishu >>> “Toa kwanza maneno ya kuniamrisha mimi cha kufanya… Hakuna mtu anayeweza kuniamrisha” >>> Anne Makinda.

 



JANUARY MAKAMBA KAJIBU HAYA KUHUSU WIZI WA MUDA WA HEWANI

LAYIIII
Kama uliwahi kuweka vocha kwenye simu yako alafu ukakuta ile hela uliyoweka haipo na wala hujaitumia, hii ishu imewagusa Wabunge… Alianza Mbunge kwa kuuliza swali kwamba nini kinafanyika kuzuia wizi wa aina hiyo.
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba wanapoteza pesa kujiunga na vifurushi ama wanaponunua vocha… Serikali itachukua hatua gani kudhibiti Makampuni ya simu ambayo yanafanya wizi kwa wananchi” >>> Mbunge Murtaza Mangungu.
Kumekuwa na udhaifu mkubwa kwa upande wa TCRA kwenye kufuatilia malalamiko ya watu pale ambapo wanadhurumiwa, watu wanatoa malalamiko kwa Makampuni ya simu lakini hakuna  hatua zinazochukuliwa” >> January Makamba.
unnamed (2)
Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba.
Serikali imetoa onyo kwa TCRA kwamba tunataka hatua zianze kuchukuliwa na namna mpya ikiwemo kuhakikisha kwamba kuna kituo ambacho kipo saa zote kwa ajili ya kupokea simu na malalamiko ya watu na ni rahisi kituo hicho kufikika na watu wanahakikishiwa majibu, malalamiko yasiposhughulikiwa ndani ya saa 48 hatua za Kisheria zinachukuliwa kwa makampuni ya simu” >>> Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

ICHEKI VIDEO YA BIG SEAN NA STYLE YAKE MPYA HAPA MTU WANGU

LAYIII


Big Sean amekuja na style tofauti kwenye video yake mpya: FOCUS (Vlog)!

NIMEKUWEKEA KIPANDE CHA VIDEO MPYA YA RAY J NA LIL WYNE HAPA

LAYIII


Baada ya kimya kingi Ray J arudi na video mpya Brown Sugar , pembeni Lil Wayne!

DAVIDO KAPOST PICHA ZAKE AKIWA NA DIAMOND MTV BASE KTK PAGE YAKE YA INSTOGRAM.....ONA COMMENT ZAKE MTUWANGU

LAYIII
Ndani ya wiki mbili zilizopita staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliweka post ya Bendera ya Tanzania kwenye ukurasa wake @Instagram na kuweka alama ya love!!
Saa chache zilizopita kaweka post nyingine kwenye ukurasa wake @Facebook, amepost picha yake na Diamond iliyopigwa wakati wana perform kwenye Tuzo za MTV ..

Davido amepost picha yake na Diamond, kaandika na haya maneno kuhusu #MTVMAMA2015..

Ndani ya wiki mbili zilizopita staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliweka post ya Bendera ya Tanzania kwenye ukurasa wake @Instagram na kuweka alama ya love!!
Saa chache zilizopita kaweka post nyingine kwenye ukurasa wake @Facebook, amepost picha yake na Diamond iliyopigwa wakati wana perform kwenye Tuzo za MTV ..
PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT ‪#‎MTVMAMA2015‬ !! TOO MUCH BLESSINGS…” >>> @IamDavido
11694958_403436209857010_4888931845749158669_n

 



Serikali kununua Helikopta za zimamoto? na maneno ya Lowassa kwa wanaomuhukumu…#Magazetini July2

layiii
MWANANCHI
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliwataka wanaomhusisha na ufisadi kuacha mara moja kwa sababu hakuna hata chembe ya ukweli katika tuhuma hizo.
Lowassa, aliyeonekana kuzungumza kwa hisia, alisema hayo jana mara baada ya kurejesha fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

Serikali kununua Helikopta za zimamoto? na maneno ya Lowassa kwa wanaomuhukumu…#Magazetini July2

HM
MWANANCHI
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliwataka wanaomhusisha na ufisadi kuacha mara moja kwa sababu hakuna hata chembe ya ukweli katika tuhuma hizo.

MAJIBU YA LOWASA KUHUSU KUITWA FISADI NIMEKUWEKEA AUDIO HAPA

LAYIII
Kwenye headlines kubwa Magazetini kuna hizi stori ambazo nimekusogezea baada ya kuchambuliwa redioni June 02 2015.
Makada wa CCM wameendelea kurudisha fomu za Urais na leo ndio siku ya mwisho, Lowassa amesema amechoshwa na wanaomwita Fisadi.. kingine ni kuhusu ishu ya ushirikina Wilaya ya Mwibala, mtu mmoja ameuawa akituhumiwa kuwafanyia ushirikina  Walimu.

Wanaomwita Lowassa fisadi? mwisho wa kurudisha fomu CCM? Matokeo ya Mitihani TZ kwa simu?.. #PBCloudsFM

BZMORNING KUTANA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 2/7/2015

layiii
.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

advertise here