layiii
Hali ya kiafya ya Staa na mkongwe wa muziki wa dance Tanzania, Ramadhan Masanja aka Banza Stone sio nzuri, anaumwa kwa muda mrefu na wapo ambapo waliofikia hatua hata ya kumzushia mitandaoni kwamba
amefariki.
Team ya millardayo.com ilifika nyumbani
anapoishi, Sinza Dar es Salaam na kumkuta pamoja na ndugu zake, alikuwa
anaumwa lakini aliongea pia kinachomsumbua.
Nimeambiwa
kwamba kwa sasa hali yake sio nzuri, imebidi ndugu wampeleke Hospitali
Mwananyamala ili akapate matibabu zaidi.. nina picha pia akiwa
Hospitali, na wapo waliojitokeza kwenda kumjulia hali.
No comments:
Post a Comment