LAYIII
Muigizaji wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.
Muigizaji wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.
Shamsa aliripoti Polisi baada ya kutishiwa maisha na mchumba wake
Muigizaji wa filamu Shamsa Ford
amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson
Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.
Akizungumza na millardayo.com alisema…’Ni
kweli wakati nilipokuwa katika mahusiano naye alikuwa ni mtu ambaye
anapenda sana kuniambia neno nitakuuwa mimi na mwanangu ndio maana
nilikuwa naogopa sana kwasababu nilihisi kuwa anaweza kufanya lolote kunikomoa na nilienda hadi polisi kuchukua RB yake ili kama lolote litakalotokea basi yeye atakuwa amehusika, yaani yule alikuwa ananiambia kabia yuko serious mbaya kuwa ataniuwa mimi na mtoto wangu lisha kwangu alikuwa anawaambia hata marafiki zangu ni mashahidi na mbaya zaidi alikuwa anasema hayo maneno na mbaya zaidi alikuwa anawaambia hata ndugu zake.

Hayo
maneno alikuwa anayaongea wakati bado niko naye kwenye uhusiano lakini
ndio hivyo malumbano malumbano na mimi nilikuwa nimeshachoka na hizo
tabia zake lakini baada ya kuachana naye ni vitisho labda anataka
kumuona mtoto anatumia vitisho mara sasa ninapomnyima mtoto basi
anatumia vitisho basi mimi nikikumbuka lile neon lake la kusema ataniuwa
basi moyoni sina amani….’alisema.
No comments:
Post a Comment