Sunday 5 July 2015

DIAMOND ATOA SALUT KWA AY KATIKA PAGE YAKE YA FACEBOOK SOMA HAPA

Misingi na Daraja Imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa...Pengine watu Hawajui kuwa wewe ndio Uliye niwezeshea kufanikisha Collabo langu na Davido, Kuni Unga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio Mwanzo wa safari yangu ya Kimataifa... Nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania @Aytanzania @Aytanzania

No comments:

Post a Comment

advertise here