MAN U YA FUJA PAUNI MILLION 100 KISA USAJIRI MZITO PIA ................
LAYIII
Manchester City wanatarajiwa kutumia pauni milioni 100 ili kuwasajli
wachezaji wapya msimu huu baada ya vikwazo walivyowekewa kuhusu ununuzi
wa wachezaji kuondolewa na UEFA.
City ilipigwa faini ya pauni milioni 49 na kulazimishwa kutoa kikosi
chenye upungufu wa wachezaji 21 msimu uliopita baada ya kukiuka sheria
za UEFA.
Mancity kutumia pauni milioni 100 msimu huu
Lakini baada ya kuafikia masharti hayo ,timu hiyo sasa iko huru
kuwasaka wachezaji wapya akiwemo Paul Pogba,Kevin De Bruyne na Raheem
Sterling.
Ununuzi wa mchezaji wa Aston Villa Fabian Delph
atakayegharimu pauni milioni 8 pia unatiliwa maanani,huku Barcelona
ikiongoza harakati za kutaka kumsajili Paul Pogba.
fabian Delph wa Aston Villa Lakini licha ya kupewa ruhusu
ya kufanya matumizi inavyotaka katika dirisha la uhamisho,City imeonywa
kwamba fedha zake zitaendelea kuchunguzwa ili kuhakikisha kuwa inaafikia
masharti makali yaliowekwa.
No comments:
Post a Comment