Saturday 4 July 2015

WEMA SEPETU APATA BONGE LA SHAVU KATIKA SAFARI YAKE YA UBUNGE NA JOSE CHAMELEON

LAYIII
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Jose Chameleone aahidi kumpiga jeki Wema kwenye safari yake ya kuwania ubunge 


Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
 
“S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:

 

 

No comments:

Post a Comment

advertise here