LAYIII
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya
vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’
ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.
BSS 2015 kazi imeanza mwanza, picha 15 za usaili ziko hapa
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya
vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’
ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.
Shindano hilo la kusaka vipaji vya
kuimba kwa mwaka linatafanya usaili mikoa 5 ambapo Mwanza July 4-5 ndani
ya ukumbi wa La kairo, July 11-12 Arusha ukumbi wa Triple 7,
Mbeya
ukumbi wa Club vibes July 18-19 na Dar July 24-26.
No comments:
Post a Comment