Gwajima:- Namuomba
Rais ambadilishie Kazi Makonda, hii ya Ukuu wa Mkoa kutawala na
kuongoza hata watu usiowapenda imemshinda. Sisemi amfukuze hapana nasema
ambadilishie Kazi.
Gwajima : Makonda ana chuki na wivu na mimi
Gwajima : alikasirika hata niliposhuka na helkopta yangu siku ya mechi ya viongozi wa dini na wabunge dodoma.
Gwajima : nilichelewa kidogo nikaamua kupanda helkopta yangu mpaka uwanjani kabisa.




































