STAR wa Bongo Movie mwenye mvuto wa pekee na mshiriki wa shindano la
Ijumaa la Figa Bomba, Irene Uwoya, amefunguka kupitia ukurasa wake wa
Instagram kuwa havutiwi na wanaume wenye muonekano mzuri na hujui ni kwa
nini
Aidha staa huyo amewahi kuripotiwa na vyombo vya habari kuwa anavutiwa
sana na wasanii wa Bongo
Fleva hasa wale wadogo kama Msami Baby.
Fleva hasa wale wadogo kama Msami Baby.
“Kitu ambacho hamkijui kuhusu mimi ni kuwa SIJAWAHI kuvutiwa na wanaume
wenye mionekano mizuri, sielewi ni kwa nini lakini wanaume wenye sura
mbaya huwa wanaamsha hisia zangu za KIMAPENZI…’ aliandika Irene
No comments:
Post a Comment