Msanii na producer mtanzania anayeishi marekani kaja na hii mpya ambayo anaitambulisha kupitia huko soundcloud.com/jaymett. Ni watanzania wachache sana ambao wanamake headline huko majuu ikiwa ni pamoja na wafanya biashara na wasanii waliojitengenezea jina ndani na nje ya
nchi .
lakini je ni kweli msanii husu atageuza mziki wa Tanzania nipe sapport yako ktk comment instagram facebook na twitter kwa jina la swaxbz
Ili kuweza kuona nyimbo na video nyingine kali zaidi naomba bonyeza link hii hapa mtu wangu
No comments:
Post a Comment