YOUTUBE
Kamishna wa kanda maalumu ya Dar es salaam Kamanda Simon Sirrio
amethibitisha kuwa wanamshikiria mbunge wa Singida mashariki Tundu
Lissu,
Aidha kamanda Sirro amesemakuwa wanamshikiria Lissu kwa kwa mahojiano juu ya matamshi yake aliyoyatia dhidi ya rais Joh Magufuli
Kamanda Sirro amesema kuwa Lissu anashikiriwa na polisi tangu jana
jioni alipokamatwa mara baada ya kutoka kwenye vikao vya bunge na
amehamishiwa jijini Dar es salaam kwa mahojiano zaidi
SWAXBZ ONLINE SHOW INAKUJA HIVI KARIBUNI USIACHE KUJOIN NA KUSUBSCRIBE YOUTUBE
No comments:
Post a Comment