LAYIII
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili