Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi
mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce
wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce,
LAYIII
Bonyeza picha hii kuingia youtube uone kilichojili
Usiku wa March 2 kuamkia March 3 jina la mkali kutoka Bongoflevani Belle 9 lilirudi kwenye headlines baada ya kuonekana kwa post katika mtandao wa Instagram inamdis Diamond Platnumz lakini baadae inadaiwa kufutwa na account ya msaani huyo kufanyiwa mabadiliko ya jina.
Baada ya muda stori zilianza kuzagaa mitandaoni kuwa post hiyo sio ya kweli huku
Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani
kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es
salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam
ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote
Wakati baadhi ya wabunge wa upinzani wakishikiliwa na polisi ama
kutafutwa kutokana na chaguzi kile kinachoelezwa ni vurugu kwenye
chaguzi za Meya na wenyeviti wa halmashauri zinazoendelea, wale
waliotolewa Bungeni kwa nguvu Januari 27, wote wametakiwa kufika Dar es
Salaam wahojiwe.
Mpaka sasa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, anashikiliwa na polisi kwa
kile kilichoelezwa ni vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa
Dar es Salaam kuahirishwa Februari 27, mwaka huu.
Mbali na Mdee ambaye jana ilidaiwa kuwa polisi walifanya ukaguzi
nyumbani kwake pamoja na ofisini kwake huku kile wanachokitafuta kikiwa
hakijulikani, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) na wa Ubungo,
Saed Kubenea, pia inadaiwa wanatafuwa kwa sababu ya vurugu hizo.
LAYIII
bonyeza picha kuiona video yake hapo mtu wangu
Msanii chipukizi wa bongo flaver kutoka tanzania anayetamba na kutikisa nchini marekani ameonyesha kipaji chake kingine kuwa ni bone la producer na hits zake zimekaa kwa maadhi ya kimataifa JAY METTY ni msanii anayechipukia na anaonyesha haswa zake nchini marekani huku akishirikiana na baadhi ya wasanii wa kubwa nchini humo kama kundi nzima la cash money na baadhi ya makundi ya sanaa nchini humo
CHUKUA MUDA WAKO KUSKILIZA AUDIO YAKE HAPA MTU WANGU
hivi karibuni JAY METTY alikuwa na ratiba ya kudondosha bonge la shoo nchini Tanzania jijini Dar es salaam lakini kulingana na ratiba na mambo yaliyo chini ya uwezo wake shoo imekwama na imeshindwa kuendelea. kwa mujibu wa msemaji wake mkuu JAY METTY atatoa taarifa mapema pindi mambo yatakapo kuwa yameenda sawa
Ungana na swaxbz.com ili uwe jirani na kila update zitakazo kuwa zinatufikia kila siku
Mkazi wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense,
Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama
mtoto wake wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto vidole
vyake vya mkono wa kushoto, akimtuhumu kukomba mboga yote ya majani
aina ya ‘chainizi’ yenye thamani ya Sh 500.
Inasemekana baba huyo amekuwa akiishi na watoto wake watatu baada ya
kuachana na mkewe wa ndoa, Semsni Jahala (28) Machi mwaka jana.
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwezi ujao anatarajiwa kukwea pipa
hadi nchini Nigeria kwa ajili ya kufanya kazi na mwanamuziki wa nchi
hiyo, Deborah Oluwaseyi ‘Seyi Shay’.
Msanii huyo anayetamba na kibao cha ‘Right Now’, aliwaambia waandishi
Mwana wa Sokwe anaendelea vyema baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.
Sokwe huyo anayetoka upande wa magharibi alizaliwa kupitia upasuaji
usio wa kawaida baada ya mamaake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa
shinikizo la damu.
Alihitaji msaada wa kupumua,lakini sasa madaktari wanasema hali ya mama na mtoto iko shwari.
Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.
Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa
Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina
moja la Anna, mkazi wa Oysterbay maeneo ya Unga-Limited jijini hapa
anadaiwa kumcharanga kwa viwembe mwanaye wa kumzaa mwenye umri wa miaka
kumi anayesoma shule ya msingi (jina la mtoto na shule yanahifadhiwa).
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri mapema wiki hii nyumbani kwa mama
huyo maeneo ya Oysterbay hivyo kumlazimu Diwani wa Kata ya Themi,
Melance Kinabo kushirikiana na polisi kumkamata mzazi huyo kutokana na
kitendo alichomfanyia mwanaye na kumwachia majeraha makubwa.
Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music.
Stori: Musa mateja, Ijumaa:
Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na
aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, hivi karibuni Ijumaa
lilinyetishiwa kuwa, amejiweka kwa dogo mmoja aliyefahamika kwa jina la
Medy Music ambaye wamekuwa wakipika na kupakua kwenye nyumba ya staa
huyo iliyopo Kijitonyama jijini Dar.
Mwigizaji wa bongomovie Ray ‘Vicent Kigosi’
ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita
kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia
mkorogo tofauti na zamani ndio maana rangi ya ngozi imebadilika, mengi
ameyaongea kwenye hii video hapa chini alipohojiwa na CloudsFM Leo Tena pia kuhusu movie yake mpya ‘Tajiri Mfupi‘
Moja ya stori kubwa za mastaa wiki hii ilikua ni taarifa za ujauzito wa Wema Sepetu
kuharibika, tumempata Daktari ambaye yuko tayari kuelezea ni vitu gani
vinaweza kusababisha ujauzito wa Mwanamke
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man UnitedWayne Rooney wiki hii aliingia kwenye headlines baada ya klabu ya wachina ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu yake ya Man United na kwenda kuanza maisha mapya ya soka nje ya Uingereza kwa mara ya kwanza.
Klabu ya Shanghai Shenhua ambayo ilianza kuiomba Man United kumsajili Wayne Rooney
kwa dau la pound milioni 27 mwishoni mwa mwaka 2015, kwa sasa
inamuhitaji na ilitaka kuwa inamlipa mshahara wa
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwana Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu. Lulu aliandika >>>‘Huyo
ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye
mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo
Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO
BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu
tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua
KUFANYA STAREHE SIYO ZAMBI ILA STAREHE INAHITAJI KIPIMO MAANA IKIPITA KIASI INAKUWA NA MADHARA YAKE CHUKUA NAFASI KUONA VIDEO HIO HAPO chini
Pale watu wanapotakiwa kwenda kanisani na misikitini kwa ajiri ya ibada ndo kwanza wanajirusha katika kumbi za starehe
Pale ambapo muda wa kumtukuza mungu umefika ndo kwanza watu tunajiachia club swimming pool na maeneo meni ya anasa
Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo, anatarajiwa kutumbuiza jijini Mwanza, May 21. Atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la kila mwaka la Jembeka linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini humo.
Hii
itakuwa mara ya tatu muimbaji huyo kuja Afrika Mashariki.
Ameshatembelea
STAA
wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea
kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa
staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe. Akizungumza asubuhi hii
katika kipindi cha
Kwa kawaida maandalizi ya Michuano ya Kombe la Dunia
hufanyika miaka zaidi ya minne kabla ya nchi husika kuanza kupokea timu
katika miji yao. Imekuwa kawaida kwa kila nchi inayotarajia kuwa
mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia kutengeneza viwanja vipya na
vyenye hadhi kwa ajili ya michuano hiyo.
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 mtandao wa sokka.com
umetoa list pichaz 12 za viwanja vinavyotajwa kuwa vitatumika katika
mihuano hiyo 2022. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 12 za
muonekano wa viwanja 12 vilivyotajwa na sokka.com
Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao Tanga.
Baada ya kuwa na tetesi na Uvumi kila kona kuhusiana na Ujauzito wa Wema Sepetu kutokuwepo tena mwenyewe leo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii na kutoa uhakika. Ameandika maneno haya;
"Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametangaza kuwateuwa
mabalozi wa tatu katika wizara ya mambo ya nje, ushirikiano wa Afrka
Mashariki, kikanda na kimataifa. Rais Magufuli pia alitangaza kuteua
watu wengine katika nyadhifa tofauti. Hii ndi baru yenye mchanganuo
wote.
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’
Stori: Musa mateja, Ijumaa
Dar es Salaam
Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul
‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ukipenda muite mama Tiffah, amekwaa
skendo ya kutumia makalio feki kila anapokuwa kwenye mtoko.
Sophia Manguye akisaini mara baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo.
Mwanamke aliyepambana na jambazi na kufanikiwa kumnyang’anya bunduki
aina ya SMG, Sophia Manguye (46), amepewa zawadi ya Sh 500,000 na
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Tarime/Rorya, Gemini Mushy.
Mwanamke huyo ambaye aliomba Serikali kumpa silaha ili kujilinda,
alisema kuwa hajaridhika na zawadi hiyo kwa kuwa kama asingemmudu
jambazi huyo watu wengi wangepoteza maisha.
Habari
zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela
jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena
kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala na gari ndogo. Ajali
hiyo kwa taarifa za awali inatajwa kutokea maeneo ya Tabata. Kwa mujibu wa mtandao wako wa press bongo....... inafuatilia kwa kina taarifa kamili ili kukuletea habari za uhakika zaidi ila hizi ni picha za mwanzo kuhusu ajali hiyo
5 Februari 2016 Imebadilishwa mwisho saa 16:50 GMT
Kwa
kawaida polisi huzingatiwa kuwa watu wenye kuwaandama wahalifu na kila
wakati wanapoonekana, wengi hujiuliza kwani leo kulikoni?
Na hali huwa ni ya wasiwasi zaidi ikiwa mmoja wa maafisa hao wa polisi ni wa cheo cha juu.
Bahati
Kasamba Innocent, ni afisa wa cheo cha juu ndani ya idara ya polisi
nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayesifika sana katika fani ya
uimbaji wa nyimbo za Injili.
Anasema yeye huimba katika juhudi za kuhubiri amani, uongozi bora na pia upendo.
Mwandishi
wa BBC Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Byobe Malenga
huko Bukavu, alikutana na msanii huyo studioni akiandaa baadhi ya nyimbo
zake.
Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika kwa kuangalia uso wa mwanadumu,utafiti umesema.
Katika
jaribio, kwa kutumia picha za mwanamume wanasayansi kutoka chuo kikuu
cha Sussex walionyesha kwamba farasi wanaofugwa nyumbani huchukizwa na
sura zilizokasirika.
Wanasayansi hao wanasema kuwa ufugaji huo huenda umewawezesha farasi kuelewa tabia za binaadamu.
Kwenye 255 ya Clouds fm leo kulikuwa na stori hizi tatu kubwa,:- Diamond Platnumz kazungumzia vitu
vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na
Godfather ilikuwa ni yeye kutaka nishoot video zangu Tanzania, sasa mimi
nikawa simuelewi, alivyokuja bongo nikapitanaye Kigamboni.. yani
kilakitu alikuwa akikiona anashangaa mazingira yalivyo mazuri”
Mwanadada anayepiga dili la utangazaji kupitia Zouk TV ambaye aliwahi
kuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungwilwa ‘Penny’
amefunguka kuwa mimba ya shosti wake, Wema Sepetu inampa ‘uchizi’ kwa
kutamani kila kukicha na yeye anase ujauzito.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema
kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu
kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi.
Makala: Richard Manyota -Igunga
KATIKA mahojiano na Mwandishi nguli wa burudani nchini wa Gazeti la
Ijumaa, Erick Evarist, Februari 2012, msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’
alinukuliwa akieleza kisa hiki:
“Katika maisha yangu nimepitia mitihani mingi, mmoja wapo ni huu wa
kulazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa yangu, kwa kifupi nilibakwa.”
Kwa kuwa kisa hiki cha kusikitisha kimesemwa sana na Shilole katika
mahojiano yake mengi na vyombo mbalimbali vya habari, Gazeti la Ijumaa
lililazimika kufunga safari mpaka wilayani Igunga
Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda
Dar es Salaam: Who is next (nani anafuatia?) Ndivyo Wabongo wengi
wanavyojiuliza kufuatia tumbutumbua majipu katika sekta za serikali
inayofanywa na Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ ili kupisha mfumo mpya
wenye Kauli Mbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’.
Kwa mujibu wa baadhi ya wananchi waliozungumza na Ijumaa Wikienda kwa
nyakati tofauti, wana imani na Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John
Pombe Magufuli ‘JPM’ kuwa hatanii katika suala la tumbuatumbua ya majipu
inayoendelea ambapo familia za wakurugenzi waliotumbuliwa sasa ni vilio
tupu.
India ni moja kati ya
nchi ambazo vijana wengi wa kitanzania hupendelea kupelekwa na wazazi
wao kwenda kusoma, siku kadhaa nyuma ziliingia headlines kuhusu stori za
kibaguzi zinazoendelea katika nchi ya India. Inaripotiwa kuwa India mtu mweusi anabaguliwa sana.
Wiki iliyopita January 31 msichana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 21 ambaye anasoma India
aliingia
LAYIII
DAR ES SALAAM: Ama kweli Bongo lazima utumie ubongo! Wakati watu
wakisaka utajiri kwa njia ya hata ushirikina na ile ya kuamini
unapatikana Taasisi ya Freemason, nyuma ya dhana hiyo kuna kundi kubwa
la waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ambao wanajifanya Freemason wakidai
kutoa utajiri huku wakiishia kutapeli watu.
Kiongozi Mkuu wa Freemason Ukanda wa Afrika Mashariki, Sir Andy Chande.
Stori: Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: Ama kweli Bongo lazima utumie ubongo! Wakati watu
wakisaka utajiri kwa njia ya hata ushirikina na ile ya kuamini
unapatikana Taasisi ya Freemason, nyuma ya dhana hiyo kuna kundi kubwa
la waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ambao wanajifanya Freemason wakidai
kutoa utajiri huku wakiishia kutapeli watu.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta January 29 taarifa za yeye kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji zilianza kuenea, na baadae kuthibitika baada ya picha za utambulisho wa staa huyo kuanza kuenea mitandaoni.
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa
tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali
Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26
na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii
video hapa chini.
Kama umebahatika kukatisha makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere pale eneo la mataa ya TAZARA
utakuwa umekutana na bango linaloonesha dalili nzuri… ni dalili za ujio
wa flyover, zile barabara ya juujuu kwa ajili ya kusaidia kuokoa foleni
eneo lile.
Dar es salaam inasubiria kwa hamu daraja jipya la Kigamboni
linalojengwa juu ya bahari ambalo ilitangazwa kwamba linatakiwa kuanza
kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2016 kurahisishia Wananchi ambao sasa
hivi inabidi watumie kivuko wakati wote, tazama hii video hapa chini.
Headlines za beef kati ya rapper Lil Wayne na Boss wa Cash Money Records Birdmanni miongoni mwa stori zilizokaa kwenye kurasa za burudani kwa kipindi kirefu, lakini baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya wawili hao, Lil Wayne maarufu pia kama Birdman Jr na Birdman wamefikia muafaka wa ugomvi wao tarehe 17 January 2016 maeneo ya LIV Nightclub, Miami.
Miongoni mwa mastaa wa filamu na muziki
Bongo wamekuwa na viashiria vya vitendo visivyofaa hasa wanapokuwa
kwenye sehemu za starehe na wengi wao ni wale wanaotumia kinywaji chenye
kilevi.
Wanaotajwa sana kwenye tabia hiyo mni
pamoja na hawan wafuatao kutokana na picha zao kuzagaa nsana mitandaoni
na kwenye magazetin mbalimbali.
Hapa nawazungumzia Aunt Ezekiel na Wema Sepetu, Isabela Mpanda na Baby Madaha, Rayuu na Skaina nk.
Wako mastaa waliojaribu maisha kwenye
upande mwingine Tanzania, wako waliotoka kwenye game ya muziki na
wengine walitoka kwenye movie… kwa maamuzi ya dhati kabisa wakajitangaza
kwamba wanaitaka siasa !!
Wapo waliotoboa, wakafanikiwa kupata nafasi walizogombea kwenye Ubunge na Udiwanilakini wako ambao mambo hayakwenda sawa na wakaahidi kwamba wanaingia mtaani kujipanga rasmi kwa ajili ya jukwaa la kampeni za 2020 Tanzania.
Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake
ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa
kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa
ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni
rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti
haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.
Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya UrenoCristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo.
LAYIII
Bonyeza picha hii kuiona video yake
Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na mume wa mtu akipata matibabu hospitalini.
Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na mume wa mtu.
Mjue mwigizaji wa Filamu ya Yesu ambaye baadhi ya watu hudhani kwamba ndie Yesu
Historia ya mtu
ambaye ameigiza filamu ya Yesu inayofahamika kwa jina la ''JESUS''
ambayo iliigizwa mnamo mwaka 1979 huko nchini Israel,na kujipatia
umaarufu duniani kote,watengenezaji wa filamu hii wametoa maelezo kua "
tumeamua kufanya
hivi baada ya kuona ni kwa jinsi gani filamu hiyo imekuwa ikigusa
maisha ya watu wengi kiasi kwamba baadhi ya watu wanasahau kwamba mtu
aliyemo kwenye filamu hiyo ni mwigizaji tu na siyo Yesu.
hata yeye
amekiri kwamba wakati wa uigizaji alikuwa akisuluhisha mambo yaliyokuwa
yakijitokeza yeye na waigizaji wenzake baada ya wao kusahau kwamba yeye
si Yesu bali anaigiza tu.