LAYIII

Rubani wa ndege hiyo Dennis Hogge hata hivyo alishindwa kuidhibiti na ikateleza na kuigonga gari
Mtu mmoja ameuawa baada ya ndege moja kuangukia gari alimokuwa kwenye barabara kuu ya California Marekani.
Walioshuhudia
wanasema kuwa ndege hiyo ilionekana kama iliyokuwa na matatizo ya
injini na ikalazimika kutua kwa dharura kwenye barabara ya Interstate 15
freeway California.Rubani wa ndege hiyo Dennis Hogge hata hivyo alishindwa kuidhibiti na ikateleza na kuigonga gari