Tuesday 29 March 2016

SANAMU YA MGOMBEA URAIS NCHINI MAREKANI DONALD TRUMP YACHOMWA MEXICO SIKUKUU YA PASAKA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUSIKILIZA TUKIO LA MTOTO ALIYEKUWA AMEKUFA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU KUONEKANA NDANI YA NYUMBA YA TAJIRI MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA NDUGU YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=mUlBC6Nj-ls
Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha Republicans Donald Trump.
Mojawapo ya tukio hilo la kushangaza limefanyika katika kitongoji kimoja cha wakaazi walio na kipato cha chini kiitwacho La Merced.

Wakaazi wengi wa La Merced wamejitokeza kushuhudia kuchomwa kwa kikaragosi cha Trump badala ya kile cha yule mfuasi wa Yesu Kristu aliyemsalito Judas Iscariot.
https://www.youtube.com/watch?v=mUlBC6Nj-ls
Wamexico wengi hawampendi bw Trump tangu alipotoa matamshi ya kuwakejeli wamexico.
Desturi hiyo ya kuchoma vikaragosi hutumiwa na wamexico kuelezea hisia zao dhidi ya wanasiasa wenye sera wasizozipenda wakitolea mfano wa jinsi Judas Iscariot, alivyomsaliti Yesu.


No comments:

Post a Comment

advertise here