Tuesday, 29 March 2016

NKUIMESOGEZEA VIDEO MPYA YA MTANGAZAJI SAM SAGO

LAYIII
JIUNGE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA HII HAPA
Mtangazaji wa Radio/TV Sam Misago ameendelea kuachia single zake mpya ikiwa hii ni single yake ya pili toka Watanzania wameanza kumuona kwenye maamuzi yake mapya ya kufanya muziki wa bongofleva anaoufanya kwa ku-rap, ukishaitazama hii video yake
mpya hata unaweza kuacha na comment akipita ajue Watanzania wameupokeaje muziki wake.

No comments:

Post a Comment

advertise here