Tuesday, 29 March 2016

KATIKA VIDEO MPYA ZA BONGO FLEVA BASI HUTAIACHA NA HII YA AMINI "Hawajui"

LAYIII
Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake
kadhaa kwenye game ya bongofleva na sasa katuletea hii mpya, ukishamaliza kuitazama usisahau kumuandikia ajue watu wake wameipokeaje.

No comments:

Post a Comment

advertise here