Wednesday, 30 March 2016

JUA SABABU YA KWANINI KIATU CHA LIONEL MESSI KILIVYO WAKERA WAMISRI

LAYIII
BONYEZA PICHA YOYOTE KUSKILIZA SAUTI YA MTOTO HAPPY
 https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Messi na mtanagazaji aliyempatia viatu vyake  

Mchezaji maarufu wa soka duniani amepeana viatu vyake vya kusakata soka katika mnada wa hisani,bila kujua kwamba hatua hiyo huenda ikawakera wengine.
Hicho ndio kisanga kilichompata nyota huyo wa Barcelona alipotaka kupeana viatu vyake huko Misri.
Kisa hicho kinajiri wiki chache baada ya Messi kupongezwa kwa kutimiza ndoto ya kijana mmoja wa Afghanistan alipomtumia boli na fulana yake.

https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk

Lakini mchezaji huyo alipoonyesha hisani kama hiyo huko Misri katika runinga moja ya Misri wiki hii hatua hiyo lionekana na wengi kuwa matusi .
Wakati wa mahojiano ya runingani ''katika kipindi cha Yes am Famous'' kinachopeperushwa hewani na runinga ya MBC Misr,mchezaji huyo wa Argentina aliwaambia watangazaji hao kwamba angependa kutoa viatu vyake vifanyiwe mnada.
Kile ambacho Messi hakuelewa ni kwamba nchini Misri na mataifa mengine ya Uarabuni viatu hutumika kama ishara ya kukosa heshima ama hata matusi.
Hivyobasi raia wa taifa hilo walichukulia kitendo hicho kama makosa na kuanza kutoa hisia kali katika mitandao ya kijamii.
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Mbunge aliyetoa viatu vyake ili kumpatia Messi 
 
Na ili kujibu matusi hayo mbunge mmoja wa Misri said Hassin anayetangaza kipindi kwa jina 'Infirad' alitoa kiatu chake na kusema kwamba atampatia Messi.


No comments:

Post a Comment

advertise here