LAYIII
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi July 23 2015
tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea
hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na
Hardnews, zote ziko hapa.
Kiungo wa kimataifa wa kiholanzi Rafael van der vaartambaye amewahi kuitumikia Tottenham Hotspurs kuanzia 2010-2012 akitokea katika klabu ya Real Madrid ya Hispania uhamisho ulioshangaza wengi kwa kiungo huyo kujiunga White Hart Lane.
LAYIII
Ni habari ya muda lakini ni ya kwanza kwako wewe msomaji wa swaxbz.com .Napenda kukumbusha kuwa mwenyezi Mungu yupo na wao wanao mwabudu yawapasa kumwabudu kwa roho na kweli.
HUWEZI KUAMINI...!!!MTOTO WA MIAKA 3 AOTA MATITI MAKUBWA KAMA MSICHANA WA MIAKA 18..MTAZAME HAPA HAPA
Huwezi kuamini mtoto wa miaka 3
huko Nigeia kuota matiti,unaweza kusema kuwa hili swala
limesababishwa na hali ya maumbile ya mtoto.Kusema kweli sisi
hatufahamu hili swala limetokeaje kwa mtoto huyu mzuri
LAYIII
Kwanza kabisa napenda kuwapa taarifa kuwa inasemekana imekuwa cornformed lowasa kupeperusha bendera ya ukawa
huu ndo ujumbe wa lowasa katika page yake ya instogram.
LAYIIII
“Nana” ya Diamond platnumz ni moja ya nyimbo kubwa sana Afrika kwa
sasa, Bado inaendelea kukimbiza katika chat mbalimbali za television
kubwa kama Trace.Kumbe nyimbo hii ilitakiwa afanye na Ludacris.
Akiongea katika kipindi cha mambo mseto kinachoongozwa na William Mtuva
Diamond amesema kuwa nyimbo ya Nana ilitakiwa afanye na Ludacris lakini
Midundo ambayo ilitumika ilionekana kuwa Luda asingeweza kufeet katika
ngoma, ikabidi asimame Flavour.
LAYIII
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fmumekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
CHADEMA na mgombea Urais leo, Odinga aivulia kofia Zanzibar na Madereva kulipa fine kielektroniki. (Audio)
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fmumekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
James Lembeli atangaza sababu zilizomtoa CCM mizengwe na rushwa kuwa sababu kuu zilizomtoa kwenye Chama hicho na kuhamia CHADEMA.
LAYIII
Kama ulifatilia ile post ya juzi nilikuwekea picha za mwanamke aliye kuwa nusu nyoka sasa camera yetu imezipata video zao zote zifate hapo chini ndugu yangu
picha nyingine hapa alifichwa sana ili watu wasijue kama yupo huyu hapa mcheki katika video hiii
LAYIII
Ikiwa ni siku chache wanasayansi walivyokuwa wakijaribu kumtengeneza binadamuna juhudi zote kukwama nimeamua kukuletea video ujionee jinsi binadamu anavyoumbwa utaona ukuu wa mungu ulivyo jamani mwacheni mungu aitwe mungu yeye ndio muweza
Mkali wa ngoma ya Nana,ambaye amenyakua tuzo ya MTV MAMA kama Mtumbuizaji Bora wa Afrika,Diamond Platnamz amemjibu mwanamitindo Jokate Mwegelo baada kuandika ‘status’ kwenye akaunti ya Instagram yake na kumpongeza msanii huyo kunyakua tuzo na kusema mbona hakumsapoti kwa kumpost kwenye akaunti yake kabla ya kutwaa tuzo hiyo.
LAYIII
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua
fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao,
sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu
Irene Uwoya naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani
Tabora.
.
Baada ya kuona mastaa mbalimbali
wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015
kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka
kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua
fomu
LAYIII Rabbit msanii kutoka pande za Kenya amedondoka Bongo kufanya video na G Nako, Joh Makini,Rich Mavoko..amesema amekuja kufanya kazi na Director wa huku..anataka kujaribu kufanya kazi na watu mbalimbali.
Rabbit
Pia mkongwe kutoka ECT, Crazy GK amesema kitu kinachomis kwenye muziki wa Tanzania ujuzi wa muziki…wengi wanajaribu bado hawana ujuzi wa kutosha kwenye muziki..
LAYIII Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid
ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo
kwa miaka 16, lakini mambo yakabadilika baadae ambapo mwezi huu
alitangaza kuhamia Klabu ya FC Porto ya Ureno kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi.
Mourinho analaumu FC Porto kumsajili Casillas pamoja na mshahara wake?
Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid
ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo
kwa miaka 16, lakini
Jina la Floyd Mayweather
ni moja ya majina ya mastaa wachache waliochukua headlines nyingi zaidi
mwaka 2015, mwaka uko katikati na bado anaendelea kuchukua nafasi
hiyohiyo ya juu… mara nyingi kuna stori ya yeye kustaafu mchezo wa
Ngumi, mpango wake uko palepale ila leo tutamjua mpinzani wake mwingine.
Floyd Mayweather
Pambano lake linalofuatia litakuwepo September 12 2015, na tayari majibu yako on air kwamba atakayepambana nae ni Andre Berto, Bondia ambaye ana rekodi ya kushinda Mapambano 33 na amepigwa kwenye Mapambano matatu.
Floyd Mayweather ameshinda jumla ya mapambano 48, hajapigwa hata pambano moja… Berto ataweza kuianguisha record ya huyu jamaa?
Najua itakuwa furaha kubwa kwa kila mtu
wa nguvu ambae anatoa love na suppoort ya kutosha kwa wasanii wa TZ,
inapendeza kuona majina ya mastaa wetu wanaofanya muziki wanazidi
kufahamika nje ya mipaka yetu.
MTV MAMA 2015 imeshafanyika Durban South Africa ambapo TZ ilikuwa ikiwakilishwa na mastaa wawili tu, Diamond Platnumzna Vanessa Mdee…
lakini kabla mambo hayajapoa nakutana
Ni mtoto aliye zaliwa miaka kumi na mbili iliyo pita inatia huruma sana embu weka comment yako hapo chini walau hata maombi yako ndugu yangu
KUIONA VIDEO HIYO NI FATA LINK HII tbcueltd.blogspot.com
layiii
Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amezoeleka kuwa aina ya kocha
ambaye hapendi masikhara toka kwa wachezaji wake na amekuwa si mzito
kufanya maamuzi ya kumuondoa mtu kwenye timu pale ambapo anaona
anakwenda kinyume na matarajio yake .
Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amezoeleka kuwa aina ya
kocha ambaye hapendi masikhara toka kwa wachezaji wake na amekuwa si
mzito kufanya maamuzi ya kumuondoa mtu kwenye timu pale ambapo anaona
anakwenda kinyume na matarajio yake .
Usajili wa kipa Mhispania David De Gea kuelekea klabu ya Real Madrid
kwa sasa inaonekana kama huenda usitokee tena hivi karibuni baada ya
klabu hii ya Hispania na wenzao wa Manchester United kushindwa kufikia
makubaliano .
Manchester United imegoma kabisa kufanya mazungumzo na Real kuhusiana
na De Gea kutokana na Wahispania hao kushindwa kutimiza masharti ambayo
United imeyaweka katika mazungumzo hayo .
United imewaambia Real kuwa endapo wanamtaka De Gea basi wakubali
kumruhusu beki Mkongwe Sergio Ramos ajiunge na United au Gareth Bale
jambo ambalo vijana hawa wa Florentino Perez amelikataa katakata.
LAYIII
KIWANGO ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani kutoka marekani kumvulia kofia staa wa tanzania DIAMOND PLATNUMZ.
NASEMA TENA KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa
duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki
alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili....
MAAJABU YA, Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifunngua TEMBO badala ya mtoto katika ujauzito aliodumu nao zaid ya miezi 13 bila madaktari kugundua kilichopo ndani, play video ujioneee
Diamond Platnumzjana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best Live Act,
hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam na hata
kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu
waliofurika
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za #MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz BAADAYE NAYE JOKATE KATUPIA LAKE HAPA MTU WANGU
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Uamuzi wa Lembeli umekuja wakati
wanachama kutoka sehemu mbalimbali wakitangaza uamuzi wao wa kujiengua
CCM na kujiunga na vyama vya upinzani, hasa Chadema ambayo imesomba
asilimia kubwa ya wahamaji hao.
LEMBELI kuihama CCM?, Mafuriko ya LOWASSA CHADEMA na Mwinyi avunja ukimya…#MAGAZETINI JULY19
MWANANCHI
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
LAYIII
Kwenye hii post tumeipata benki kuu ya Tanzania ambayo iko tayari
kuzungumzia ishu ya sarafu mpya ya shilingi mia tano kutoonekana sana
kwenye mzunguko wa fedha nchini Tanzania.
Kwenye
hii post tumeipata benki kuu ya Tanzania ambayo iko tayari kuzungumzia
ishu ya sarafu mpya ya shilingi mia tano kutoonekana sana kwenye
mzunguko wa fedha nchini Tanzania.
LAYIII
Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumzna Vanessa Mdee‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti na Vee Moneyalikuwa kwenye Category moja.
Hawa Ni Watoto Wa Kike Kutoka Rwandan Army!! Ohh Mama Mia!!
Watu wengi wameshazoea kwamba wanajeshi lazima uwe na sura ngu… hivi,
hakuna watoto wakali na nini! lakini kwa jeshi la Rwanda ni tofauti
aisee watoto wakali kinoma, imeletea mijadala kibao
Kwenye Press conference hapa Durban South Africa
Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa
Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali w
Ni july 17 ambapo Diamond Platnumz,
Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasanii wengine waliungana na MTV Base
kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali
uliofanyika Durban Afrika Kusini.
Good morning mtu wa nguvu.. swaxbz.com huwa inakuwekea stori za Magazetini kila siku asubuhi.
Ninayo tayari hii post ya Magazeti ya Tanzania leo July 18 2015,
story zote kubwakubwa >>> Udaku, Hardnews na Michezo
<<< zote ninazo hapa.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
akiwa kwenye gari la wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu
Hassan kwenye mitaa ya Michenzani Zanzibar.
Mhe. Magufuli aliwasili Zanzibar kwa lengo la kutambulishwa
kwa wanachama wa CCM Zanzibar akiongozana na mgo
Makala na Sifael Paul
MPENZI msomaji ungana nami katika simulizi hii mpya ya kweli inayohusu
viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu,
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa
visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe
hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Wana muonekano kama
binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na binadamu. Viumbe hao
waliogundulika karne kadhaa zilizizopita
LAYIII
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lina mpango wa kuzifanyia
marekebisho kanuni zake ili kuzibana nchi zinazowania kuandaa Kombe la
Dunia, zisitumie mwanya wa misaada ya kifedha kwa nchi nyingine kama
rushwa.
Kipengele kile kinachoziruhusu nchi zinazoshindania nafasi ya kuandaa
Kombe la Dunia kusambaza pesa katika nchi nyingine huenda kikafutwa.
LAYIII
Wafanyakazi wa uwokoaji Nigeria wanasema katika eno la kaskazini
mashariki mwa nchi hiyo katika mji wa Gombe watu arobaini wameuawa na
wengine wengi kujeruhiwa baada ya milipuko kutokea kwenye soko katika
eneo hilo.
Mlipuko wa kwanza umetokea nje ya kwenye maegesho nje ya duka la
viatu, na kufuatiwa na mlipuko mwingine muda mfupi baadae. Mmoja ya
wafanyakazi wa uokoaji miongoni mwa waliouwa ni wanawake na watoto.
LAYIII Erick Evarist MADAM
Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye
siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu. Akizungumza na Ijumaa hivi
karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo
LAYIII
SAUTI ZOTE NIMEKUWEKEA HAPA MTUWANGU WA UKWELI
Inawezekana ulikuwa mbali na redio yako na uchambuzi wa magazeti kupitia @Clouds.Fm umekupita, nimefanya juhudi za kukurekodia zile zote kubwa zilizosikika leo kwenye @Power breakfast….
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli jana apokelewa kwa kishindo Zanzibarnafukutu la kuchukua fomu za Ubunge zimeanza rasmi jana.
Mambo yalivyoharibika Rubani ilibidi aishushe ndege katikati ya barabara na magari yanapita.. Ona pichaz na video
Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu
ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani
haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani
ambaye alijiongea na kuona bora aishushe
LAYIII
Mwanamuziki Dayna Nyange ametoa mtazamo wake wa namna gani wasanii wa nyumbani watawezakuvuka mipaka ya nje ya nchi.
Alipokuwa anafanyiwa mahojiano na mwandishi wa timesfm.co.tz Dayna
alifunguka kwamba ili wasanii waweze kutoboa ni lazima wawe na Wadau wa
nje (connection) kwani wengi wanafanya kazi nzuri lakini kutokuwa na
wadau ndio kikwazo.
“Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza kuvuka boda ni kwa sababu
ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza kufanya kazi na watu
wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya kitu kizuri”,
alifafanua Dayna.
Dayna alieleza pia kuhusu ujio wa video ya wimbo wake wa Nitulize
aliomshirikisha Nay wa Mitego kwamba wataanza kuirekodi siku chache
zijazo kwani kuna vitu muhimu wanasubiri kutoka nje ya nchi.
Video hiyo inatarajiwa kurekodiwa hapahapa nyumbani Tanzania, huku
akisita kuweka wazi ni kampuni gani ambayo itatengeneza video hiyo na
kusema watu wasubiri Surprise.
Dayna mwanamuziki huyu mwenye asili ya huko mkoani Morogoro mwisho
alitoa taarifa kwa mashabiki wake wa Tanga wakae sawa kwani anatarajia
kuanza show zake mkoani humo kuanzia sikukuu ya Eid
LAYIII
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
wabunge.
#newsflash CCM inamhitaji Lowassa ili Ishinde uchaguzi- Kingunge
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
LAYIII
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Jean Baptiste Mugiraneza ni kiungo wa kimataifa wa Rwanda aliyesajiliwa na klabu ya Azam FC msimu huu akitokea klabu ya APR ya Rwanda kwa mkataba wa miaka miwili. Awali taarifa zilitoka kuwa kiungo huyo atarejea Rwanda kujumuika na kuitumikia timu yake ya APR katika mashindano ya kombe la Kagame yatakayoanza july 18 jumamosi hii.
Ila mambo yamekuwa tofauti baada ya klabu ya APR kumruhusu aichezee Azam FC katika mashindano ya kombe la Kagame. APR ambayo ipo kundi B n
Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fella aka Mkubwa Fella
alionesha mapema kabisa leo July 15 amechukua fomu ya kugombea udiwani
wa katika mtaa wa Kilungule, Wilaya ya Temeke Dar es Salaam.