Wednesday, 22 July 2015

KUMBE NANANA YA DIAMOND ILIKUWA IFANYWE NA LUDUCRISE

LAYIIII
“Nana” ya Diamond platnumz ni moja ya nyimbo kubwa sana Afrika kwa sasa, Bado inaendelea kukimbiza katika chat mbalimbali za television kubwa kama Trace.Kumbe nyimbo hii ilitakiwa afanye na Ludacris.
Akiongea katika kipindi cha mambo mseto kinachoongozwa na William Mtuva Diamond amesema kuwa nyimbo ya Nana ilitakiwa afanye na Ludacris lakini Midundo ambayo ilitumika ilionekana kuwa Luda asingeweza kufeet katika ngoma, ikabidi asimame Flavour.

No comments:

Post a Comment

advertise here