LAYIII
Ni habari ya muda lakini ni ya kwanza kwako wewe msomaji wa swaxbz.com .Napenda kukumbusha kuwa mwenyezi Mungu yupo na wao wanao mwabudu yawapasa kumwabudu kwa roho na kweli.
Ni habari ya muda lakini ni ya kwanza kwako wewe msomaji wa swaxbz.com .Napenda kukumbusha kuwa mwenyezi Mungu yupo na wao wanao mwabudu yawapasa kumwabudu kwa roho na kweli.
HUWEZI KUAMINI...!!!MTOTO WA MIAKA 3 AOTA MATITI MAKUBWA KAMA MSICHANA WA MIAKA 18..MTAZAME HAPA HAPA
Huwezi kuamini mtoto wa miaka 3
huko Nigeia kuota matiti,unaweza kusema kuwa hili swala
limesababishwa na hali ya maumbile ya mtoto.Kusema kweli sisi
hatufahamu hili swala limetokeaje kwa mtoto huyu mzuri
MWANAUME AOTA MATITIBAADA YA KUTUMIA DAWA ZA UKIMWI
BAADHI
ya wanaume wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa
za kurefusha maisha wamejikuta wakivimba matiti yao na kuwa makubwa kama
ya wanawake. Vilevile, wanawake wanaotumia dawa hizo wanalalamika kukutwa na matatizo kadhaa ikiwa ni pamoja na ulemavu.
Joseph
Mkanda (43) amekumbana na tatizo la dawa hizo ikiwa ni pamoja na
kuvimba matiti. Mwanzoni alihisi ni kutopata chakula bora, lakini
akagundua kwamba ni aina za dawa anazotumia.
“Naona
aibu sana kutoka nje ya nyumba yangu, kwani nimepata matiti kama
mwanamke…. Naona watu wakiniona watanicheka,” anasema mwananchi huyo
ambaye ni mkazi wa Mkoa wa Mtwara.
“Nilipokwenda
zahanati ya kijijini nikaambiwa hilo ni jambo la kawaida kwa watu
walioathirika na Ukimwi, hivyo sijui la kufanya wala pa kwenda,” anasema
Mkanda.
Mwanamke
Salima Omar (36) mwenye watoto saba kutoka Mtwara anasema mwili wake
umekumbwa na matatizo kibao tangu aanze kutumia dawa hizo. Mmoja wa
watoto wake wa kike alifariki mwaka 2006 muda mfupi tu baada ya kuzaliwa
kwake.
Hata
hivyo, Salima ambaye ni mke wa Hassan, na ambaye mwili wake umejaa
vipele, na maumivu sehemu mbalimbali za mwili, anaamini hali hiyo
inatokana na kutopata lishe bora.
“Madawa
haya ni makali mno, usipokula vizuri ni lazima yataivuruga afya yako,”
anasema na kuongeza kwamba kuna siku analazimika kuyatumia madawa hayo
bila kula chochote hususan anapokuwa mgonjwa sana
Mwanamke
huyo anasema kuna wakati hayatumii madawa hayo kutokana na ukosefu wa
fedha ya chakula, kwani mumewe ni fundi wa baiskeli na yeye (Salima)
hupoteza fedha anazopata kwa kunywea pombe. Hali hiyo imemsababishia
kuuza mbuzi wote wa familia yake ili kumudu maisha.
Kama
zilivyo familia nyingi katika Wilaya ya Mtwara ambazo zinakabiliwa na
upungufu wa chakula tangu mwaka 2007, Salima naye yuko katika mkumbo
huo.
Vilevile,
licha ya kuwa mwathirika, mwanamke huyo bado anaendelea kuzaa. Miezi
mitatu iliyopita alizaa mapacha ambapo mmoja wao alifariki na mwingine
hali yake ni mbaya.
Hata hivyo, wataalam wa tiba wamewashauri wanandoa hao kuacha kuzaa, jambo ambalo huenda wakakubaliana nalo.
No comments:
Post a Comment