LAYIII
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fm umekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fm umekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
CHADEMA na mgombea Urais leo, Odinga aivulia kofia Zanzibar na Madereva kulipa fine kielektroniki. (Audio)
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fm umekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
James Lembeli atangaza sababu zilizomtoa CCM mizengwe na rushwa kuwa sababu kuu zilizomtoa kwenye Chama hicho na kuhamia CHADEMA.
Tundu Lisu amtaja mgombea Urais UKAWA, CHADEMA yaamua leo kumtangaza mgombea wao wa Urais jijini Mwanza huku Dk. Wilbroad Slaa akiwepa nafasi kubwa na Wabunge CHADEMA waanguka kura za maoni.
Mazungumzo na Edward Lowassa yazidi kuwa siri kubwa, mchakato wa kutafuta Wabunge wa Viti Maalum CCM umedaiwa kutawaliwa na rushwa na Mbunge wa Viti Maalum Dodoma afariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya tumbo.
Mfumo uliotumika kuwachuja wagombea Urais CCM kutumika kuwachuja wagombea Ubunge, Raila Odinga aivulia kofia Zanzibar katika kuimarisha sekta zake za maendeleo na biashara.
Madereva kulipa fine kielektroniki kwa
makosa ya uvunjaji wa Sheria barabarani huu utakuwa mfumo mpya wa
utwozwaji fine na kwa madereva watakao pokonywa leseni kutokurudishiwa
lesini zao tena.
Nimekusogezea sauti ya stori zilizosikika @Power Breakfast hapa chini…
No comments:
Post a Comment