Sunday, 19 July 2015

ULIMISS KUONA MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA MTVMAMA NIMEKUSOGEZEA HAPA

LAYIII

Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.00 PM
Diamond Platnumz jana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best Live Act, hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam na hata kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu waliofurika
wakiimba muda wote na kushangilia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere International Airport.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz kutoka Airport
Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.23 PM
Ona pichaz kuanzia mwanzo kabla hajafika, alipofika na watu wake walivyojipanga kumpokea.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.34.52 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.31 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.45 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.54 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.01 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.09 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.18 PM
Diamond ni mtu wa Kigoma Tanzania, Peter Msechu nae akaona awepo kumpokea Wakigoma mwenzie.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.25 PM
Kama Ronaldooo… Jamaa hata hawakuchoka kujiachia yani.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.32 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.41 PM
Hii ni sehemu ya family ambayo iko karibu sana na Diamond, yuko Romy Jones, Mama yake Diamond, Queen Darlen ambaye ni dada yake na wengine wengi.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.50 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.36.59 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.34.29 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.34.37 PM
Screen Shot 2015-07-19 at 8.34.44 PM
Ilibidi mabaunsa wafanye kazi ya ziada ili kumpitisha mpaka kwenye gari.
Screen Shot 2015-07-19 at 8.37.08 PM
Kila mmoja na camera yake wengine na simu zao, ilimradi waipate picha ya Daimond akiwasili Airport na Tuzo yake mkononi.

No comments:

Post a Comment

advertise here