Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho
LAYIII
FROM UDE KUMBWEMBE PAGE
......Miaka 12 leo tangu Marc-vivien Foe afariki....usiku ule alioanguka
dimba la Girland Ufaransa na kufariki, nilisema nikipata mtoto wa kiume
nitamuita Marc-vivien kwa heshima ya Foe....Agosti 27 mwaka jana
nilipata mtoto wa kiume, ndio huyu anayeitwa Marc-vivien
kumwembe.......Rest in peace Legend....
LAYIIII Shettaamepoteza
passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba
mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa
passport hiyo.
Ahadi ya Shetta kwa atakayeipata passport yake iliyopotea…#Uheard (Audio)
Shettaamepoteza
passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba
mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa
passport hiyo.
LAYIII
Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea mhanga aliendesha
gari lake moja kwa moja hadi kwenye lango kuu la kituo hicho .
Kituo hicho kiko katika eneo la Leego, barabara kuu inayounganisha mji mku wa Mogadishu na Baidoa.
Takriban watu 30 wamepoteza maisha yao baada ya shambulizi la kigaidi
katika kituo cha kijeshi cha wanajeshi wa kimatifa wa kulinda amani
nchini Somalia Amisom.
Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea mhanga aliendesha
gari lake moja kwa moja hadi kwenye lango kuu la kituo hicho .
LAYIII
Baada ya kufanya vizuri kwenye collabo ya wimbo mpya wa Diamondwa Nana, staa wa Nigeria Mr Flavouramerudi kwenye headlines na sasa ametoa Video yake mpya ya wimbo wa ‘Power To Win’
Mr.Flavour karudi kwenye headlines na hii ‘Power To Wini’ (Video)
Baada ya kufanya vizuri kwenye collabo ya wimbo mpya wa Diamondwa Nana, staa wa Nigeria Mr Flavouramerudi kwenye headlines na sasa ametoa Video yake mpya ya wimbo wa ‘Power To Win’
LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
Yalichoandika magazeti ya Tanzania leo JUNE 26, 2015 Udaku, Hardnews na Michezo
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
LAYIII
Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge
Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala
kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi
Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge
huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya
mama yake.
Dakika kumi za Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo kuhusu ishu ya mtoto wake kujadiliwa Bungeni… #June262015
Kwenye kilichosikika jana June 25 2015
toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha
Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza
Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto
akiwa kwenye mikono ya mama yake.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamemzuia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif SharifHamad kuhudhuria shughuli ya kuvunja Baraza hilo itakayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein leo.
LAYIII cheki video hapo chini
Ligi ya Copa America ni moja ya Ligi za soka ambazo ni
maarufu sana duniani, lakini headlines mfululizo ndani ya wiki moja
sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior.
Mchezaji kamshika mwenzie makalio Ligi ya Copa America, kilichofuatia kikazua utata mwingine !!
Ligi ya Copa America ni
moja ya Ligi za soka ambazo ni maarufu sana duniani, lakini headlines
mfululizo ndani ya wiki moja sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia
kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior.
Leo nimempata huyu mwingine Gonzalo Jara ambaye na yeye kaingia kwenye headlines baada ya kumshika mchezaji mwenzake Cavani skwenye
makalio.. inaonekana ni kama haikuwa bahati mbaya kwa vile kabla
hajamshika kulitokea kujibizana kati yao.. Video ya tukio hilo
imeendelea kusambaa mitandaoni kutokana na hukumu kuonekana kumwangukia
asiye na hatia.
Edinson Cavanialikasirishwa na kitendo cha Gonzalo,
akampiga kibao cha uso.. refa akatoa kadi ya njano kwa Cavani, lakini
kwa vile tayari jamaa alikuwa na kadi ya njano ikabidi apigwe nyekundu
na kutolewa nje ya uwanja.
LAYIII
2014 itaendelea kukumbukwa kwenye ulimwengu wa Siasa Tanzania baada ya
ishu ya ufisadi wa ESCROW kubeba headlines nyingi kutoka Bungeni Dodoma,
na Mbunge ambaye ni kama alihusika kuianika ishu hiyo ni Mbunge kutoka
Kigoma, David Kafulila.
David Kafulila kaibua mengine ya ufisadi Bungeni? Sikiliza mwongozo wake na majibu ya Spika na Waziri.. (Audio)
2014
itaendelea kukumbukwa kwenye ulimwengu wa Siasa Tanzania baada ya ishu
ya ufisadi wa ESCROW kubeba headlines nyingi kutoka Bungeni Dodoma, na
Mbunge ambaye ni kama alihusika kuianika ishu hiyo ni Mbunge kutoka
Kigoma, David Kafulila.
Timu ya England chini ya miaka 21 imekubali kichapo cha Mabao 3-1 kutoka kwa Italia katika michuano ya ulaya.
Italia
walianza kuandika bao lao la kwanza dakika ya 25 ya mchezo, kwa bao la
Andrea Belotti Kabla ya Marco Benassi kuongeza mengine mawili dakika ya
27 na 72.
Nathan Redmond akaifungia timu yake ya England bao la
kufutia machozi baada ya kazi nzuri liliyofanya na kiungo Ruben
Loftus-Cheek.
Katika mchezo mwingine wa michuano hii Ureno walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na sweden.
Kwa matokea haya Ureno na sweden wanasonga mbele kenye hatua ya Nusu fainali na kuungana na mataifa ya Ujeruman na Denmark.
kocha wa timu ya vijana ya England chini ya miaka 21 Gareth Southgate amesema anataka kuendelea kuwa kocha wa kikosi hicho.
LAYIII
Makamu wa pili wa Rais wa Burundi Gervais Rufikiri amekimbia baada ya
kuiambia runinga ya France24 kuwa muhula huo wa tatu unakiuka sheria na
katiba ya taifa hilo.
Makamu wa rais Burundi atoroka
Moja kati ya makamu wa rais wa Burundi ametoroka nchini humo baada ya
kutangaza kuwa anapinga hatua ya rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza
kuwania muhula wa tatu.
UNGANA NA LAYIII
Afrika Kusini imesema kuwa huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya
kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yenye makao yake makuu huko Hague
Uholanzi kufuatia jaribio la kumkamata rais wa Sudan Omar al Bashir
alipokuwa nchini humo majuzi.
Afrika Kusini huenda ikajiondoa kwenye ICC
Afrika Kusini imesema kuwa huenda
ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC
yenye makao yake makuu huko Hague Uholanzi kufuatia jaribio la kumkamata
rais wa Sudan Omar al Bashir alipokuwa nchini humo majuzi.
LAYIII
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika
uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha
kukamatwa cha ulaya.
Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo
Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda ameachiliwa kwa dhamana.
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika
uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha
kukamatwa cha ulaya.
LAYIII
Chama cha TAC kimekubali ombi la walimu la kupunguza
muda ambapo walimu wapya wametakiwa kuhudumia Kaskazini Mashariki mwa
Kenya, ama sehemu nyingine yoyote yenye changamoto ambapo sheria za TAC
zinahitaji mwalimu kuhudumu zaidi ya miaka mitano kabla ya kuomba
uhamisho.
Nimekuwekea habari kubwa za leo kutoka radio Jambo Kenya
Chama cha TAC kimekubali ombi la walimu la kupunguza
muda ambapo walimu wapya wametakiwa kuhudumia Kaskazini Mashariki mwa
Kenya, ama sehemu nyingine yoyote yenye changamoto ambapo sheria za TAC
zinahitaji mwalimu kuhudumu zaidi ya miaka mitano kabla ya kuomba
uhamisho.
Makamu wa pili wa rais nchini Burundi,
Gervais Ruyikiri ametangaza kuwa hatorurudi nchini kama usalama wake
utakua haujalindwa ipasavyo. Akizungumza kwenye televisheni ya Ufaransa
France 24, Gervais Rufyikiri, amesema ameamua kufanya hivyo akihofia
usalama wake kutokana na jinsi hali invyoendelea nchini Burundi.
Burundi: makamu wa pili wa rais ahofia usalama wake
Makamu wa pili wa rais wa Burundi, Gervais Rufyikiri, ambaye ametangaza kujiuzulu kwenye wadhifa wake.
LAYIII
Mwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na
kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015
ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za
KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015.
Video ikimuonyesha Ali Kiba alivyopanda daladala na kuulizwa maswali likiwemo la yeye na Diamond.
JJMwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na
kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015
ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za
KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015
LAYIII
Wakati kukiwa na sintofahamu kuhusu hatma ya uchaguzi mkuu wa Burundi
unaotarajia kufanyika mwezi ujao kutokana na vurugu za kisiasa
zinazoendelea kupinga kugombea tena kwa Rais Pierre Nkurunziza..headlines zimerudi tena nchini humo.
Burundi tena kwenye headlines…inahusu kutoroka kwa makamu wa Rais!! kisa kiko hapa
Wakati
kukiwa na sintofahamu kuhusu hatma ya uchaguzi mkuu wa Burundi
unaotarajia kufanyika mwezi ujao kutokana na vurugu za kisiasa
zinazoendelea kupinga kugombea tena kwa Rais Pierre Nkurunziza..headlines zimerudi tena nchini humo.
Wanafunzi katika shule ya Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Uingereza wamezindua mipira ya kiume ‘kondomu’ yenye uwezo wa kugundua maradhi ya zinaa wakati watumiaji wanapokutana kimwili.
Ubunifu mwingine ni huu wa mipira ya kiume inayotambua magonjwa…
Wanafunzi katika shule ya Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Uingereza wamezindua mipira ya kiume ‘kondomu’ yenye uwezo wa kugundua maradhi ya zinaa wakati watumiaji wanapokutana kimwili.
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya
miaka mitano hadi sita ameuwa kikatili jijini Dar es salaam baada ya
kubakwa na kasha kunyongwa shingo huku akidaiw akunyofolewa sehemu za
siri.
Mwili wa mototo huyo unadaiwa
kutelekezwa katika moja ya nyumba iliyokuwa haijaisha na kugunduliwa na
kijana aliyekuwa akiokota chupa tupu za maji eneo la tabata kisiwani,
Dar es salaam.
Mtoto auawa kikatili Dar, waandikishaji BVR wafungiwa kituoni na Raia wa Kuwait akamatwa JNIA na kobe hai 173…#MAGAZETINI JUNE25
TANZANIA DAIMA
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya
miaka mitano hadi sita ameuwa kikatili jijini Dar es salaam baada ya
kubakwa na kasha kunyongwa shingo huku akidaiw akunyofolewa sehemu za
siri.
Mwili wa mototo huyo unadaiwa
kutelekezwa katika moja ya nyumba iliyokuwa haijaisha na kugunduliwa na
kijana aliyekuwa akiokota chupa tupu za maji eneo la tabata kisiwani,
Dar es salaam.
layiii
Baada ya kufanikiwa kufanikisha usajili wa Danny Ings kutoka Burnley na
Roberto Firmino kutoka Hoffenheim ya Ujerumani, klabu ya Liverpool sasa
inatarajia kukamilisha usajili mchezaji mwingine ndaninya saa chache
zijazo.
Baada ya Mbrazil Firmino, Liverpool sasa kumsajili beki huyu wa kiingereza
Baada
ya kufanikiwa kufanikisha usajili wa Danny Ings kutoka Burnley na
Roberto Firmino kutoka Hoffenheim ya Ujerumani, klabu ya Liverpool sasa
inatarajia kukamilisha usajili mchezaji mwingine
Linah
ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi
alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori
kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na
baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli
wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.
LAYIII
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare
zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua
tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa
iliyopita.
TBT: Picha 5 za zamani za Jokate, Wema Sepetu na ya Q Chief na Diamond, Millard Ayo na JK na Lowassa
LAYIII LICHA
ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota
wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa
akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke
anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.
LICHA

LAYIII SHINDANO la kumsaka mlimbwende atakayeuwakilisha Mkoa
wa Kilimanjaro kwenye shughuli mbalimbali za Kijamii limezinduliwa
mapema leo, ambalo litakuwa na jumla ya washiriki 20 watakaowania taji
hilo Julai 24 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Kili Home Resort.
LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapamillardayo.com
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 25, 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo
LAYIII
Siku chache baada ya kushuhudia mshambuliaji wake raia wa Croatia Mario
Mandzukic akihamia nchini Italia kwenye klabu ya Juventus , mabingwa wa
Hispania kwa msimu wa mwaka 2013/2014 Atletico Madrid hii leo
wamethibitisha kumsajili mshambuliaji raia wa Colombia Jackson Martinez
toka Fc Porto ya nchini Ureno
Atletico Madrid wasajili mshambuliaji mpya .
Siku chache baada ya kushuhudia mshambuliaji wake raia wa Croatia
Mario Mandzukic akihamia nchini Italia kwenye klabu ya Juventus ,
mabingwa wa Hispania kwa msimu wa mwaka 2013/2014
LAYIII
Kufuatia tetesi nyingi ambazo zimezidi kuongezeka miongoni mwa vyombo
vya habari vya nchini Hispania na England kuhusu mustakabali wa muda
mrefu wa beki wa Hispania Sergio Ramos uongozi wa klabu yake umeendelea
kushikilia msimamo wake wa kutokuwekwa katika hali ya utata na beki huyo
.
Mambo Magumu kwa Real Madrid na Sergio Ramos.
Kufuatia tetesi nyingi ambazo zimezidi kuongezeka miongoni mwa vyombo
vya habari vya nchini Hispania na England kuhusu mustakabali wa muda
mrefu wa beki wa Hispania Sergio Ramos uongozi wa klabu yake umeendelea
kushikilia msimamo wake wa kutokuwekwa katika hali ya utata na beki huyo
.
LAYIII
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG,
inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba,
hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.
Balaa likamkuta akiwa kwenye mishemishe za kutaka kuiba.. Ninazo pichaz hapa
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG,
inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba,
hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.
Hairuhusiwi kujichukulia Sheria mikononi
kama ikitokea mtu amekamatwa kwa kosa lolote, lakini wakati mwingine
watu wanaamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira.
LAYIII
Kesi za wanawake kushindwa kutambua muda wao wa kujifungua unapofika
zimekuwa zikitokea mara kwa mara na hata wengine kushindwa kujitambua
kama ni wajawazito hadi pale unapokaribia wakati wa kujifungua.
Stori ya mama aliyejifungua njiani bila kujua ipo kwenye headlines
Kesi za wanawake kushindwa kutambua muda wao wa kujifungua unapofika
zimekuwa zikitokea mara kwa mara na hata wengine kushindwa kujitambua
kama ni wajawazito hadi pale unapokaribia wakati wa kujifungua.
LAYIII
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika
mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu
baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia
miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
Kila mwananchi Tanzania anatakiwa achangie shilingi 100/=, unajua ni kwa ajili ya nini?
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii
ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali
itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta
itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
LAYIII
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firminoaliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.
Nyota mpya wa Brazil aliyesajiliwa na Liverpool..aingia kwenye rekodi ya mchezaji ghali zaidi!!
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United
LAYIII KOCHA mpya wa Simba, Dylan Kerr, anatarajiwa kutua
nchini wikiendi hii akiwa anaonekana kuwa kocha mwenye rekodi kadhaa za
ajabu kwenye soka. Kocha huyo anatua nchini kuchukua mikoba ya Goran
Kopunovic, ambaye aliachana na timu hiyo ya Msimbazi baada ya
kushindwana kwenye masuala ya kimaslahi.
LAYIII Gladness Mallya BARAKA! Siku
chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema
Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha
Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo
Gladness Mallya BARAKA!
Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo,
Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha
Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake
huo.
Akistorisha na gazeti hili, Katibu wa
Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila
LAYIII
Zaidi ya watu 780 wamefariki huko Karachi huku 30 wakiripotiwa kufariki kutoka sehemu nyingine mkoani humo.
Taarifa kutoka katika hospitali kadhaa mkoani humo zimeripoti
kuelemewa baada ya mochwari zake kujaa miili hivyo kushindwa kuhifadhi
miili mingine. Mamlaka husika zimelaumiwa kwa kushindwa kukabiliana na janga hilo lililoanza Jumamosi iliyopita.
WATU ZAIDI YA 800 WAPOTEZA MAISHA KWA JOTO KALI PAKISTAN
Mmoja wa majeruhi wa joto nchini Pakistan akipatiwa huduma ya kwanza.
WATU zaidi ya 800 wamefariki dunia mpaka sasa kutokana na hali ya
joto kali kwenye Mkoa wa Sindh uliopo kusini mwa nchi ya Pakistan.
LAYIII
Jana niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za
kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba
kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.
Headlines nyingine ni China na dawa za kulevya, hawana utani kwenye hii ishu !!
Jana
niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za
kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba
kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.
LAYIII
Ilianza kama ishu ya kawaida hivi lakini muda ulivyozidi kwenda ikazidi
kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kwamba eti kuna watu
wananunua sarafu za shilingi mia tano za Tanzania alafu wanatumia madini
ya sarafu hiyo kutengeneza vito kama mikufu hivi !
Ni kweli sarafu ya shilingi mia tano ina madini? Majibu yako kwenye hii video
Ilianza kama ishu ya kawaida hivi lakini
muda ulivyozidi kwenda ikazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya
kijamii kwamba eti kuna watu wananunua sarafu za shilingi mia tano za
Tanzania alafu wanatumia madini ya sarafu hiyo kutengeneza vito kama
mikufu hivi !
LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapawww.swaxbz.com
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 24, 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapamillardayo.com
kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya
Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
LAYIII
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.
LAYIII Wema Abraham Sepetu ni
mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka
amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni
safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
Mengine 10 Exclusive kutoka kwa Wema Sepetu niliyoyapata leo June 24 2015…
Wema Abraham Sepetu ni
mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka
amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni
safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC,
imesema haina mpango wa kurudia uandikishaji wapigakura katika maeneo
waliyopita kwani inaamini kazi hiyo imefanywa kwa ufanisi wa hali ya
juu.
Pamoja na hali hiyo NEC imewaonya
wanasiasa kutoingilia kazi yao kwa sababu wanaifanya kwa mujibu wa
sharia za nchi, na hawapo kwa ajili ya kumwonea mtu bali kuandikisha na
kusimamia haki za wapigakura.
#MAGAZATENI JUNE 24…Mama ajifungulia bafuni, Mawaziri 7 wasusia bajeti Z’bar na maandamano yazuka Arusha kupinga BVR
MTANZANIA
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC,
imesema haina mpango wa kurudia uandikishaji wapigakura katika maeneo
waliyopita kwani inaamini kazi hiyo imefanywa kwa ufanisi wa hali ya
juu.
Pamoja na hali hiyo NEC imewaonya
wanasiasa kutoingilia kazi yao kwa sababu wanaifanya kwa mujibu wa
sharia za nchi, na hawapo kwa ajili ya kumwonea mtu bali kuandikisha na
kusimamia haki
LAYIII.
Diamond loves south Africa and Nigeria because of the big support
getting from our fellow brothers and sisters from that nation's since he
release my number one remix he started to penetrate the African
CAN THIS PROVE SOON DIAMOND HE WILL BECOME SOUTH AFRICAN CITIZEN? WATCH THIS VIDEO YOU WILL GET THE ANSWER!!
Diamond loves south Africa and Nigeria because of the big support
getting from our fellow brothers and sisters from that nation's since he
release my number one remix he started to penetrate
LAYIII VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa
shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza
kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la
muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!
Brighton Masalu
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa
shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza
kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la
muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
LAYIII
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza kwa kuwa na joto sana kwa
Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika uwepo wa joto kali na wengine
kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili kuepukana na adha hiyo.
Baada ya India hii ni idadi kubwa nyingine ya vifo vya watu kutokana na joto Pakistan..
Jiji la Dar es salaam ndilo linaloongoza
kwa kuwa na joto sana kwa Tanzania na kuna kipindi watu hulalamika
uwepo wa joto kali na wengine kulazimika kulala nje wakati wa usiku ili
kuepukana na