LAYIII
MWANANCHI
MWANANCHI
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani hapa.
Mshahara atakaolipwa kocha mpya wa Simba, NAPE na ushindi wa CCM na BVR yazua vurugu Z’bar…#MAGAZETINI JUNE23