layiii
Bondia Floyd Mayweather ndio Bondia aliyeandika headlines nyingi zaidi mwaka 2015, ishu ya kuendeleza record yake kutopigwa tangu amekuwa professional kwenye ngumi sio kitu kidogo.. unajua aliowataja kwa

Bondia Floyd Mayweather
ndio Bondia aliyeandika headlines nyingi zaidi mwaka 2015, ishu ya
kuendeleza record yake kutopigwa tangu amekuwa professional kwenye ngumi
sio kitu kidogo..
unajua aliowataja kwa maneno yake kwamba anataka
kupigana nao mwezi September ni nani na nani?
Headlines zina nukuu ya alichokisema >>> “Nitapigana na Karim Mayfield au Andre Berto mwezi September” >>> Floyd Mayweather.
Waandishi wa Habari hawakuacha hii kitu iishe hivihivi, akatafutwa Andre Berto na haya ndio majibu yake >>> “Ilikuwa tupambane siku nyingi sana… Pambano letu litavutia zaidi kuliko pambano la Pacquiao“>>>– Andre Berto.
Kuna watu ambao hawakuvutiwa na pambano la Mayweather na Pacquiao, ikitokea mmoja kati ya hao wawili wakikutana Ulingoni unadhani litavutia kuliko la kwanza la Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao?
No comments:
Post a Comment