Monday, 22 June 2015

DAKIKA ZA MAJERUHI ZITTO AGALAGAZA CHADEMA

LAYIIII

PICHAZ:SHUHUDIA ZITTO KABWA ALIVYOIGALAGAZA CHADEMA KWA DAKIKA ZA MAJERUHI..........

 Wakati ccm na chadema wakijipanga kuchukua urais hapo octoba zitto  kabwe awagalagaza pamoja na kujinadi kwao fuatilia picha zao hapo ushudie yaliyo jili

 Msafara wa Viongozi wa ACT ukiwasili Kigoma...
 Wafuasi wa ACT, wakiandamana kupokea msafara wa Viongozi wa Chama hicho wakati ulipokuwa ukuwasili Mkoani Kigoma jana.
 Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho. Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe huku wakiwa wamejichora miilini kuhusu Zitto.

 Wananchi wakiwa na mabango....
 wasanii wakitoa burudani jukwaani....
 Zitto Kabwe, akivishwa Shati la Kitenge na wafuasi wake...

 Zitto, akipokea kadi za wanachama....

No comments:

Post a Comment

advertise here