LAYIII ON SPOT
Moja ya video ambayo watu wameshare sana kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye Whatsapp siku chache zilizopita ilikuwa inaonesha Mgombea mmoja wa CCM akipigwa japo wengine waliiona hiyo video na hawakujua ni nani anayepiga na anapigwa kwa sababu gani !!
Moja ya video ambayo watu wameshare sana kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye Whatsapp siku chache zilizopita ilikuwa inaonesha Mgombea mmoja wa CCM akipigwa japo wengine waliiona hiyo video na hawakujua ni nani anayepiga na anapigwa kwa sababu gani !!
General News
Hizi ni sentensi 12 za Mgombea Urais wa CCM aliyepigwa Tanga pamoja na alichokisema Nape Nnauye.. (Audio)
Moja ya video ambayo watu wameshare sana kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye Whatsapp siku
chache zilizopita ilikuwa inaonesha Mgombea mmoja wa CCM akipigwa
japo wengine waliiona hiyo video na hawakujua ni nani anayepiga na
anapigwa kwa sababu gani !!
Magazeti yakaipa headlines tena hiyo ishu June 20 2015, Mgombea ambaye alipigwa akatajwa kwamba ni Dk. Mussa Muzamil Kalokola na sababu iliyoandikwa ni ishu ya kuingia kwenye Mkutano ambao hakuandaliwa yeye Tanga.
“Nilipigwa
sana lakini msisikitike kuona mimi nimepigwa kwa sababu bwana Yesu
alikufa msalabani kutuokoa sisi… nipigwe mie ili mafisadi wasichukue
nchi hii wanaotembeza mitonyo kutaka kununua Urais wakati wao ndio
wameangamiza nchi hii kwa kutuibia“>>> Dk. Kalokola
Kwani ni kweli alivamia Mkutano wa Mgombea mwingine? >>> “Sikuvamia.. nimeenda na Askari wao wenyewe katika Kamati ya Siasa wakaanza kuniomba radhi wananiambia yaishe”
Hapa anasimulia ilivyokuwa mpaka wakampiga >>> “Nilikuwa
naenda kwa Katibu wa Wilaya jamaa wakaanza kusema mwondoe mwondoe..
Jamaa akanifuata nikampa teke maana na mimi nimepita Jeshini katika
Kung-fu na mimi nipo… walivoona nimewazidi nguvu akaja kijana mwingine
akanipiga ngwala… nimeumia miguu”>>> Dk. Kalokola
Hapa akasikika Nape Nnauye akizungumzia ishu hiyohiyo >>> “Sijui
nani mkosaji japokuwa hata kama yeye alikuwa amevamia kitendo cha
kumpiga vile haikuwa sawa… Hata kama imetokea bahati mbaya
wamekutanishwa sehemu moja bado kumpiga haikuwa sawasawa”>>> Nape Nnauye
Sauti ya Dk. Kalokola na Nape Nnauye ziko hapa, utawasikia wote wawili ukiplay!!
No comments:
Post a Comment