layiii
Hali sio nzuri Pakistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya ku vamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, yalikuwepo mabomu na risasi pia !!
Hali sio nzuri Pakistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya ku vamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, yalikuwepo mabomu na risasi pia !!
Hali sio nzuri Pakistan, kingine
kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya
ku vamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, yalikuwepo mabomu na risasi pia !!
Wavamiaji hawakuwa nna nia njema, ripoti zinaonesha jamaa hao walikuwa sita na ni members wa Kundi la Taliban.
Polisi wamefanikiwa kuwaua jamaa hao ambao walikuwa na silaha pamoja na
mabomu, hapa ninazo pichaz ambazo zinaonesha jengo la Bunge kwa ndani
likiwa na moshi mzito.
Wavamiaji hao walilipua gari moja nje ya Jengo la Bunge kabla ya kuvamia ndani !!
No comments:
Post a Comment