Monday, 22 June 2015

RUDI TENA KATIKA HEADLINE ZA SWAXBZSITE

NA LAYIII

Ni kweli Rose Muhando kachukua pesa na hajaenda kwenye show?! #U Heard!! 


Leo kwenye UHeard na Soudy Brown kasogezewa malalamiko na Promota ambae anadai kuwa alikuwa na makubaliano na Rose Muhando ya kwenda kwenye show maeneo ya Njombe, Iringa lakini madai ya Promota huyo ni kwamba Rose alipokea hela na hajaenda kwenye show !! rose-muhanda

Leo kwenye UHeard na Soudy Brown kasogezewa malalamiko na Promota ambae anadai kuwa alikuwa na makubaliano na Rose Muhando ya kwenda kwenye show maeneo ya Njombe, Iringa lakini madai ya Promota huyo ni kwamba Rose alipokea hela na hajaenda kwenye show !! 
Rose Muhando aliingia mkataba wa milioni tatu na laki tano kwa ajili ya kufanya show hiyo, makubaliano yalikamilika lakini ilivyofika siku ya show Rose hakuonekana, akapigiwa simu akasema yupo njiani, baadae simu yake ikawa haipatikani.
Kwa upande wa waandaji, wanasema hasara waliyoipata ni zaidi ya milioni sita, wamelalamika kwa kitendo hicho na wamesema kama asipoonesha ushirikiano wao watamchukulia hatua za Kisheria.

 

No comments:

Post a Comment

advertise here