Record
label ni kampuni inayosimamia wasanii ama brand, kuratibu utengenezaji
wa nyimbo, video, usambazaji, masoko, promotion na mambo mengine. Record
label pia hutafuta wasanii wapya kwa nia ya kuendeleza vipaji vyao.
Nchini Tanzania tumeanza kuona record label mbalimbali ambazo zinafanya
vizuri kwa kiasi chake, japo bado hatujafika kule ambako tunatarajia
record label zetu zifike. Hapa tumeandaa record label kadhaa ambazo kwa
sasa zinafanya poa.